Natafuta Secretary

Natafuta Secretary

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam wadau..nahitaji secretary katika ofisi yangu iliyopo Dsm.Vigezo Muhimu no kama ifuatavyo:
1.Lazma awe amesomea kozi ya secretarial kwa ngazi ya cheti na kuendelea.
2.Awe na ujuzi wa matumizi ya kompyuta kwenye kuchapa na kutumia emails
3.Afahamu kiingereza(basic)
4.Awe na uwezo wa kupokea na kuzungumza na wageni wa aina mbali mbali
5.Awe msafi na mtanashati
Kwa mawasilino zaidi tafadhali tuma msg kwenye namba 0689900000 au email kwa ndaha2000@gmail.com.Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom