Vyumba vinapangishwa maeneo ya Banana! (Hamna dalali)

Vyumba vinapangishwa maeneo ya Banana! (Hamna dalali)

Paprika

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
5,950
Reaction score
9,880
Habari!
Kuna vyumba vya kupangisha, Banana kama unaelekea kitunda...

* Chumba na sebule, vyoo vya jumuia (wapangaji wanne tu).
Kodi yake ni 70,000/= (miezi mitatu)

* Sebule na vyumba viwili (Self contained)
Kodi yake ni 150,000/= (miezi mitatu)

Vyote vipo ndani ya fensi na ni sehemu tulivu.

Kwa maswali na msaada zaidi karibu PM!

Siku njema.
PS: Samahani hamna picha... Atakaehitaji atapelekwa kuangalia.
 
emu weka kapicha kidogo tone kama vina gypsum tiles nakadhalika
 
nahitaji nyumba mkuu so fanya mpango wa picha za ndani na nje pia usisahau
 
Habari!
Kuna vyumba vya kupangisha, Banana kama unaelekea kitunda...

* Chumba na sebule, vyoo vya jumuia (wapangaji wanne tu).
Kodi yake ni 70,000/= (miezi mitatu)

* Sebule na vyumba viwili (Self contained)
Kodi yake ni 150,000/= (miezi mitatu)

Vyote vipo ndani ya fensi na ni sehemu tulivu.

Kwa maswali na msaada zaidi karibu PM!

Siku njema.
PS: Samahani hamna picha... Atakaehitaji atapelekwa kuangalia.
Weka ka piktule kidogo tuone
 
Huyo ya 70,000 unaambiwa wapangaji ni wanne but, ukihamia unakuta mmoja anaishi na mdogo wake mwenye watoto wawili, mwingine ametembelewa na mama mkwe wake tena atakuwepo kwa muda mrefu anatibiwa.
Wote asubuhi wanasubiri kutumia choo na bafu.
 
Huyo ya 70,000 unaambiwa wapangaji ni wanne but, ukihamia unakuta moja anaishi na mdogo wake mwenye watoto wawili, mwingine ametembelewa na mama mkwe wake tana ayakueepo kwa muda mrefu anatibiwa.
Wote asubuhi wanasubiri kutumia choo na bafu.

Hahaha kwa
 
Hahaha Kwa kweli ni changamoto, inabidi tu kwenda kuchek mazingira firstly, angeweka tu namba
 
Back
Top Bottom