Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,628
- 6,561
Salamu,
Nimegundua watu wengi hawaoni umuhimu wa presentation kwenye mauzo. Unakuta mtu anarundika nguo kwenye meza na kuzipiga picha, tena kwenye giza. Wengine wanaweka picha za viwanja au nyumba kwenye jua kali au kwenye angle ambayo haipendezi. Hii nimeiona kwenye bidhaa za kila aina. Kiukweli kwenye mauzo tunachukulia mambo poa sana.
Nawaletea huduma hii ya upigaji picha zenye ubora wa hali ya juu. Hii itakusaidia hata ukimtumia mtu picha zako, kwenye whatsapp, email, facebook, jamii forum, kupatana na kwingine, bidhaa zako zimvutime mteja.
Napiga picha za aina zote, kuanzia nguo na viatu, electronics, mazao, huduma, viwanja na mashamba, nyumba na business premises, jewelry, magari, nk. Pia nafanya online video ads.
Bei zangu ni nafuu kwa sababu natambua wote tupo kwenye harakati za maisha. Kwa handbags/nguo/viatu, nina package ya chini ya kuanzia 25,000/= na hiyo package ni kwa hadi items 10. Volume ikiwa kubwa, bei ya package inapungua kidogo. Kumbuka picha hizo utazitumia muda mrefu sana na nakuhakikishia zitabadilisha biashara yako.
Hapa chini ni baadhi ya kazi zangu.
Kwa mawasiliano, tafadhali tuwasiliane kwa 0762-688-222 (namba hii hii pia napatikana kwa whatsapp) au email ni info@natronstudios.com. Nipo Tegeta, Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.