Msaada: Mtu anayeuza tablet kwa Jumla

Msaada: Mtu anayeuza tablet kwa Jumla

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,443
Wakuu salamu kwenu
Hapa kuna kazi tunataka kuianza karibuni tunahitaji tablet kama 20 mpaka 25 (sio lazima ziwe 4G). Kwa yeyote mwenye ufahamu wapi ntapata hapa dar please.
Na hatuhitaji brand hapa ya bei nafuu ndio itapewa kipaumbele mana kazi ya miezi mi4 ikiisha hazina kazi. mradi tu iwe inatunza charge.
 
Back
Top Bottom