Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam, Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali) Bei ni laki 4.5 kwa mwezi. Maelewano yapo. Nyumba ni kubwa...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Pagare lipo eneo la Kinondo B , wilaya ya kinondoni. lipo kwenye kiwanja che ukubwa wa miguu 70 x 30. pagare lina vyumba 3 vya kulala , sebule , jiko na choo. lipo upande wa kushoto kama unaenda...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Nauza Maziwa fresh 1600 kwa Lita. Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5 Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar. Napokea oda za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
716 Views
nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Natafuta mosquito ama pest reperllent zile za kuplug kwenye umeme zinatoa ultrasound ama electromagnetic pulse za kufukuza mbu,ama wadudu mbalimbali ndani ya nyumba, natafuta hasa brandy ya Pest...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama inavyoonekana hapo juu kilichokoseka na betry tu, nilipoteza usiku, kama unauza betry zake njoo tufanye biashara au kama unakihitaji na betry utatafuta mwenyewe njoo tufanye biashara pia
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ninahitaji simu aina ya OPPO R11 nyeusi nimejaribu kuzunguka kariakoo sijapata kwa mwenye ufahamu naomba kujuzwa.
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Used oppo F3 kutoka Dubai Internal 64GB, RAM 4GB bei 550,000/= Nicheki 0715808028
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta Fundi nguo mzuri awe anapenda kujifunza vitu vipya,awe mbunifu, anajua kujiongeza, kazi zake smart kabisa tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Za leo wakuu, natafuta bodaboda aina ya toyo sitaki boxer maana ni yakupeleka kijijini ikapige mzigo huko kumbuka kwamba najua soko lilipo, so nimekuja hapa kwasababu najua mazungumzo yatakuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
NAUZA KINGAMUZI CHA STARTIMES PAMOJA NA DISH LAKE. BEI NI TSH60,000. KINA MDA WA MWEZI MMOJA TANGU KINUNULIWE WAHI SASA..KINAPATIKANA KIMARA MWISHO,MAWASILIANO NI 0746156938.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
zinatumia line zote 4g network bei tsh80000. nicheki whatspp tufanye biashara
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi salaam Huu uzi ni kwa ajili ya kuonyeshana ufundi show ups katika ujenzi wa Nyumba Walls Terraces Na kadhalika karibuni Ni ruksa kushare picha of your success katika ujenzi Karibuni
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Jiko la gesi "two plates" na mtungi wake kama inavyoonekana kwenye picha linauzwa kwa kiasi cha shilingi 100,000/=. Muuzaji anapatikana Morogoro mjini kama anavyojifafanua hapo chini. Asanteni...
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Feni bado imara na mpya. Bei 45,000 Nipo Dar es salaam kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0766166483
0 Reactions
13 Replies
4K Views
TV ya nchi 32,friji na music system vinauzwa,vyote ni LG,viko na resiti zake na Vina miezi miwili toka vinunuliwe... Kwa mawasiliano zaidi piga 0679059655. Kwa picha whatsap njoo kwenye namba hii...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Bei 35,000 nipo Dar es salaam, kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom