Shushani Ngomani
Member
- May 28, 2017
- 54
- 18
Za leo wakuu, natafuta bodaboda aina ya toyo sitaki boxer maana ni yakupeleka kijijini ikapige mzigo huko kumbuka kwamba najua soko lilipo, so nimekuja hapa kwasababu najua mazungumzo yatakuwa mapana kabla ya kununua tutahitaji document halali pamoja kupima kifaa kama kipo vizuri Guarantee miezi 3.
Picha ni muhimu, napatikana Dar es salaam lakini mzigo utakuwa maeneo ya tanga,moshi, au Arusha itakuwa gudi kwangu coz itaendakufanya kazi mikoa hiyo.
Ahsante
Picha ni muhimu, napatikana Dar es salaam lakini mzigo utakuwa maeneo ya tanga,moshi, au Arusha itakuwa gudi kwangu coz itaendakufanya kazi mikoa hiyo.
Ahsante