TV, friji na music system vinauzwa

TV, friji na music system vinauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
TV ya nchi 32,friji na music system vinauzwa,vyote ni LG,viko na resiti zake na Vina miezi miwili toka vinunuliwe... Kwa mawasiliano zaidi piga 0679059655. Kwa picha whatsap njoo kwenye namba hii
0717939480
 
Mambo yanaharibika kila kukicha...watu wengi sana wanakubwa na msukosuko wa kiuchumi.
Nimejionea mwenyewe haya mambo, siku hizi watu wanauza sana vitu vyo vya ndani ili kutatua matatizo yaanayowakabili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom