Todito Senior Member Joined Feb 6, 2013 Posts 154 Reaction score 363 Feb 18, 2018 #1 habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya ziada na kama utataka kukiona Ahsante
habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya ziada na kama utataka kukiona Ahsante
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Feb 19, 2018 #2 Kimepimwa yaani kina hati miliki?