Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,492
Natafuta mosquito ama pest reperllent zile za kuplug kwenye umeme zinatoa ultrasound ama electromagnetic pulse za kufukuza mbu,ama wadudu mbalimbali ndani ya nyumba,
natafuta hasa brandy ya Pest reject pro au kama zipo aina nyingine ambazo zishakuwa tested katika mazingira yetu na zikaweza kufanya kazi,
nahitaji nyingi kwa bei ya jumla kwa yeyote anaefahamu duka linalouza hizi vitu anipe location