Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SQM 640 ukubwa wa kiwanja Nyumba nzuri sana mpya Bei 45 Million(maongezi yapo) Hapajapimwa Mwendo wa dakika 20 kufika eneo lenyewe Picha chini Contact 0622-027490
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za madawa haya hapo ulipo ili nithamanishe na huku kwetu Iringa mjini. Kama kutakua na unafuu niyafuate huko. Othello ujazo wa lita moja (1000ml) SUPER...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello rafiki, Naamini hakuna mtu ambae hapendi kumiliki gari ili kurahisisha shughuli za maendeleo na usafiri kwa ujumla. Sina uchoyo hasa wa Habari, hivyo kama kweli unahitaki kununua gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye mashine ya kuuzia luku, kulipia maji, vifurushi, nk anitafute... nina ofa ya 200000 cash. Niko mail moja. Piga namba 0719 222900
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalaam aleikhum ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi, matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnaendelea na gurudumu la kusukuma Maisha. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa ktk jina la muumba Wetu aliye mkuu natumaini hamjambo Kwa uwezo wake. Nina ndugu yangu anayetafuta Gari tajwa please aliye na Gari kama hiyo Au anayejua mwenye nayo anayeuza please...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau Salaam. Nilikuwa naomba kuuliza wapi naweza kupata eneo wanaouza farasi kwa mikoa ya dar, tanga, moro na bagamoyo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza Camon CX Air kwa Sh. 240,000 tuu Nimeitumia Mwezi Mmoja Risiti Ninayo Na Charger Yake. -Camera 13MP -Front 13MP -Ina Flash Rear Na Front Cameras -RAM 2GB -ROM 16GB Sababu ya Kuuza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye computer anayeuza au kama unamfahamu mtu anauza , tafadhali naomba nijulishe. Iwe na RAM 4GB na kuendelea. HDD 350 na core i5. Budget yangu ni 350000 Cash.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna maeneo mazuri na ya kutosha, kwa ajili ya kuwekeza katika nyanja ya kilimo. Ukubwa: Kuanzia heka moja hadi mia (100). Kama utahitaji Sehemu/eneo: Mashamba yapo kijiji cha kibudi - bupu...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Hii simu nimeinunua mpya hata wiki mbili hazijaisha ila nmepata emergence I need the cash.<br />Ipo kwenye very good condition, Kila kitu chake kipo mpaka warrant seal. Napatikana Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
kama una pata shida kwenye kutafuta windows 10 na nyinginezo.catch me on whatsapp 0657586916
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa kama ifuatavyo; urefu hatua 30 * upana hatua 20. Kiwanja hiki kiko mita 200 kutoka barabara kuu, na kipo eneo zuri kwa makazi na biashara.Kina msingi wa nyumba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukihitaji kununua kiwanja maeneo ya majohe ukonga, mnadani pugu, chanika, mvuti , bonyokwa kinyerezi na masaki kisarawe nioneni. 0762256314
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu kwa mkazi wa Mbeya kuwafariji watoto yatima Katika kituo cha watoto yatima IWAMBI Mbeya ni siku ya jumamosi ya tarehe 10/02/2018 na wewe ulieko nje ya Mbeya, unaweza kwenda Katika kituo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KIWANJA CHA KWANZA KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA *UKUBWA. 25*20 *BEI..... 8MIL *UHALALI.. HATI ZIPO KIWANJA CHA PILI KIPO ENEO LA CHUO CHA MIPANGO DODOMA *UKUBWA ....35*30 *BEI...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Habari wanaharakati wa JF, tunapenda kuwatangazia wateja wetu ambao wanapenda kuchora tattoo inayo futika ( elimination tattoo ) na isiyofutika ( permanent tattoo ) tunachora vizuri na kwa ubora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi zile mashine za iceing sugar zinauzwa wapi kwa hapa Dar es salaam na wanauzaje? nina shida nazo wakuu na je unga wa iceing sugar mnanunuaga wapi na unauzwaje? Kwa hapa Dar maana leo...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…