Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,284
- 10,516
- Nyumba mbili zina uzwa dodoma... Eneo zilipo nyumba hizi ni Ntuka... Una pita Uzunguni, Kilimani (Kijiji cha mwalimu Nyerere, Ikulu iliyo jengwa kwa ajiri ya mwalimu na vijana wa JKT)
- una panda mlima wenye minala inayo onekana ukiwa sehemu yoyote Dodoma mjini au ukiwa una ingia dodoma mjini
- Karibuni, kila Nyumba ni 50M... naambatanisha na picha... kila nyumba ina vyumba vinne (4), ukitaka moja au zote karibu...
- makabidhiano tuta kabidhiana kwa mwanasheria kwa usalama wako na wangu pia...! kama una mwanasheria wako itakuwa ni jambo jema... ukitaka kuja kuziona au kujilizisha basi tutafutane...! Namba 0718440828