Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
habari wadau, nahitaji kiwanja chenye vibali vyote kwa mjibu wa sheria kwa bei inayoanzia na 1.5 mil hadi 2mil kiwe dsm. kipaumbele ni kimara, mbezi, na maeneo mengine yanayokuwa kwa kasi.
mwenye taarifa tuwasiliane kwa 0757930779/0673426517
mwenye taarifa tuwasiliane kwa 0757930779/0673426517