Wakuu salama naulizia wapi naweza pata Humidifier nipo Mwanza kwa sasa.
Kwa ambao hawafahamu... Humidifier ni kifaa kinachoongeza unyevu nyevu ndani ya chumba
Kazi yetu mpya ya tovuti (website) toka
www.africanbase.net unahitaji tovuti kwa biashara zako? Mobile app? Graphics/logo design katika brand yako? Wasiliana nasi Leo whatsapp +255753 149 701
Call...
Amani kwenu wadau,
Nauza tecno spark k7 gold cover ipo kwenye hali nzuri imetumika wiki 3 sababu ya kuuza nataka nichukue simu kubwa zaidi ya hii.
Specification zake:
DUAL SIM
16GB ROM + 2GB...
A modern 4 bedrooms, familly bungalow is available for rent from 1st of May 2018. it includes 1 masterbedroom and 3 other rooms with built in closets. a huge dining room, sitting room and top...
Habari za muda huu wadau, naomba mwenye kujua fundi mzuri wa suti za harusi Arusha anipe mawasiliano yake.
Asanteni sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza kutoka kwetu tukuletee ulipo.
.
ANT-THEFT BACKPACK Ni Begi imara zenye sifa za kipekee.
.
• ULINZI wa hali ya juu - Zipu yake ipo Mgongoni Mwizi hawezi kufungua kama umelivaa.
.
• HALINGIZI...
Electric Car Jack & Impact wrench..
Ni mahsusi kwa ajili ya kunyanyua gari (Jeki) na kufungulia Tairi za magari (Wheel spana).
Ila hizi hutumii nguvu bali umeme wa Gari. Unachofanya ni...
Printer ni me itumia mwaka mmoja tuu kwa matumizi yangu madg madg ya kuprint assignments zangu chuoni,
nilinunua 150k, Ila Mimi nina iuza 90 tuu,
ninakupa na boksi lake kabisa.
popote ulipo...
Wakuu nahitaji chumba kimoja(Self contained) cha kupanga kilicho standard ,maeneo kiwe kuanzia Airport road-Bwiru mpaka mjini,kiwe maeneo ya kufikika main road kirahisi maana sina private car kama...
Natafuta fundi mtaalamu wa kupaka rangi bati,nimeezeka kwa bati za kawaida (Simba dumu) nataka mtu anayeweza kupaka/spray rangi kwa compressor na rangi isitoke kamwe.
Kama una ujuzi huo njoo PM...
Hello wanajamvi....wasalam
Ninashida ya kupata chumba cha kupanga maeneo tajwa hapo au Namanga.
Budget 70k- 100k
Kiwe sehemu isiyojaa maji luku + umeme na self contained...
Ambaye yupo serious...