Inatakiwa dhahabu, 100 Kg every month, 1 year Contract

Inatakiwa dhahabu, 100 Kg every month, 1 year Contract

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,315
Reaction score
7,213
Wakuu!
Inatakiwa DHAHABU kwa ajiri soko la nje.
-LOI imeshatumwa tayari.
-Payment system ni CIF.
-100 kg every month.
-22 karat (Purity)
-Contract itakua ya 1 year.
-Buyers Country ni Dubai.

So kama una Kampuni au unajuana na wadau wenaofanya International trading hasa kwa CIF, karibu kwa Information zozote.
 
Wakuu!
Inatakiwa DHAHABU kwa ajiri soko la nje.
-LOI imeshatumwa tayari.
-Payment system ni CIF.
-100 kg every month.
-22 karat (Quality)
-Contract itakua ya 1 year.
-Buyers Country ni Dubai.

So kama una Kampuni au unajuana na wadau wenaofanya International trading hasa kwa CIF, karibu kwa Information zozote.
unanuaje kwa karati mzee?
 
Mtatapeliwa
Dhahabu sio kama njugu mawe eti kilo 100 kwa mwezi
Watanzania tunakufa Maskini huku Wageni wanakuja wanatengeneza pesa hapa hapa!

Kipi unashangaa!? Hujui Tanzania hii hii zipo Kampuni kubwa za kuuza Madini nje ambazo wao huuza sio chini ya kuanzia 300 kg?

Mfano MDOGO, tuna Teak wood hapa, ni Watanzania wachache ambao hu export nje, wengi ukiongea nao wananunua na kuuza hapa hapa kwa FOB tu.

Biggest Buyers sasa hawaji Africa wakihitaji kufanya High Valuable Business, kwa nini? Kwa sababu Waafrica tumewaibia sana, kuwakaba wanapokuja n.k....

Sasa utakuta Wafanyabiashara Wageni wanakuja hapa, wana register Company hapa, wananunua Mzigo kwako kwa bei ya chini, wanaenda kuuza nje kwa CIF na kutengeneza faida more than 200%....wewe umekaa nyuma ya Keyboard unasema vitu usivyovijua.

Amka...tembelea hata International trading platform, uone namna gani watu wanafanya International trading...

Kama yupo tayari kulipa kwa SBLC, BG or DLC even LC, unatapeliwaje?

Hujui kuwa kwenye Biashara za thamani kubwa International Banking zinasimama kati kuhakikisha Seller anauza na Buyer analipa baada ya kupata Mzigo!???

Baki hapa ukipiga Kelele vyuma vimekaza, huku Wahindi, Waarabu na Wachina wakichukua fulsa hapa.
 
Inaonesha biashara ya dhahabu hujaifanya, huijui
 
Sijashangaa
Nimeshangaa tapeli kutaka tapeli watu
 
Ounce ni kipimo cha uzito na caret ni kipimo cha ubora wa dhahabu(purity)
mkuu Cadozo unanivuruga siye wazee wa manta tunachukulia kwamba kareti ni kipimo mf gm ya tanzanite ni kama kareti 3 hivi na point
 
Back
Top Bottom