Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,750 Feb 26, 2018 #1 wadau nina galaxy J3 2016,inahitaji dispaly kama uko tayari weka ofa Nikuuzie au kama una display ya Galaxy J3 2016 weka bei pia.
wadau nina galaxy J3 2016,inahitaji dispaly kama uko tayari weka ofa Nikuuzie au kama una display ya Galaxy J3 2016 weka bei pia.
idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Feb 26, 2018 #2 Mkuu vioo complete vioo aina 2, Classic 200k - 180k Ordinary 150k - 120k. Kuhusu kuuza hiyo simu maanake hapo wauza machine ambayo bei za k/koo ni 50k - 30k. Sana sana utakua umeitupa simu yako.
Mkuu vioo complete vioo aina 2, Classic 200k - 180k Ordinary 150k - 120k. Kuhusu kuuza hiyo simu maanake hapo wauza machine ambayo bei za k/koo ni 50k - 30k. Sana sana utakua umeitupa simu yako.
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,750 Feb 26, 2018 Thread starter #3 idriss said: Sana sana utakua umeitupa simu yako. Click to expand... Hapa sijakuelewa
idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Feb 26, 2018 #4 Maanake kama utaiuza price yake ndio hiyo.
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,750 Feb 26, 2018 Thread starter #5 idriss said: Maanake kama utaiuza price yake ndio hiyo. Click to expand... Daah Bonge la loss, Mkuu Napatajee Hio Glass yakee
idriss said: Maanake kama utaiuza price yake ndio hiyo. Click to expand... Daah Bonge la loss, Mkuu Napatajee Hio Glass yakee
idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Feb 26, 2018 #6 Kama unaweza kuja k/koo Karibu tupo Agrey na Msimbazi
idriss JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 720 Reaction score 366 Feb 26, 2018 #7 Check me through 0652332255 or 0739332255