Natafuta mosquito ama pest reperllent zile za kuplug kwenye umeme zinatoa ultrasound ama electromagnetic pulse za kufukuza mbu,ama wadudu mbalimbali ndani ya nyumba,
natafuta hasa brandy ya Pest...
Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka.
Tuwasiliane 0657145555.
Kama inavyoonekana hapo juu kilichokoseka na betry tu, nilipoteza usiku, kama unauza betry zake njoo tufanye biashara au kama unakihitaji na betry utatafuta mwenyewe njoo tufanye biashara pia
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ninahitaji simu aina ya OPPO R11 nyeusi nimejaribu kuzunguka kariakoo sijapata kwa mwenye ufahamu naomba kujuzwa.
Habari za kazi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta Fundi nguo mzuri awe anapenda kujifunza vitu vipya,awe mbunifu, anajua kujiongeza, kazi zake smart kabisa tuwasiliane...
Za leo wakuu, natafuta bodaboda aina ya toyo sitaki boxer maana ni yakupeleka kijijini ikapige mzigo huko kumbuka kwamba najua soko lilipo, so nimekuja hapa kwasababu najua mazungumzo yatakuwa...
NAUZA KINGAMUZI CHA STARTIMES PAMOJA NA DISH LAKE. BEI NI TSH60,000. KINA MDA WA MWEZI MMOJA TANGU KINUNULIWE WAHI SASA..KINAPATIKANA KIMARA MWISHO,MAWASILIANO NI 0746156938.
Wanajamvi salaam
Huu uzi ni kwa ajili ya kuonyeshana ufundi show ups katika ujenzi wa
Nyumba
Walls
Terraces
Na kadhalika karibuni
Ni ruksa kushare picha of your success katika ujenzi
Karibuni
Jiko la gesi "two plates" na mtungi wake kama inavyoonekana kwenye picha linauzwa kwa kiasi cha shilingi 100,000/=. Muuzaji anapatikana Morogoro mjini kama anavyojifafanua hapo chini. Asanteni...
TV ya nchi 32,friji na music system vinauzwa,vyote ni LG,viko na resiti zake na Vina miezi miwili toka vinunuliwe... Kwa mawasiliano zaidi piga 0679059655. Kwa picha whatsap njoo kwenye namba hii...
Habari wakuu ,
Tunauza mikoba ya ngozi, bei ya rejareja ni Tsh. 35,000/= na jumla itategema na idadi unayochukua. Ukihitaji karibu dukani kwetu Tegeta Dar es salaam au wasiliana nasi...
Wakuu nilikuwa natengeneza passo yangu maeneo ya TABATA huko, sasa naona hawa mafundi hawana utaalam wa kutosha kila Mara wanasema nunua hiki nikinunua tatizo liko palele nahisi ni mafundi...
Habari wana jamvi
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji display ya samsung s8 kutokana na simu yangu kupata hitilafu kidogo,
Kwa yoyote aliyonayo hata kama ni used tuwasiliane
0758728258