Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Simu tajwa hapo juu yapatikana bei ni sh laki mbili na themanini 0717184353 nipo DSM mabibo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kioo cha smartphone viwa max 5 mwenye nacho wakuu.0717374641
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama mada inavosema hapo juu. Natafuta snow foam cannon/gun nimefunguwa Car wash business lakini nimekwisha kuhangaika kutafuta hio kitu. Kwa anejua wapi inapatikana naomba...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
habarini wanajamvi Nauza kiwanja 3/4 ya ekari kwa shilling laki nane Kiwanja kinapatikana MKOKA KONGWA DODOMA ANAYEHITAJI ANIPM asanten
1 Reactions
18 Replies
46K Views
Kichwa cha barua chahusika.Shamba lipo mkoani Iringa wilaya ya Kilolo kijiji cha Mkalanga.Shamba linafaa kulimwa miti ya mbao na hata miti ya matunda hasahasa parachichi,shamba ni pori...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Nimeona nirudie hili tangazo ili niweke figures vizuri. Nina idea ya biashara na nimeiplan katika muonekano tofauti. of course dio idea mpya ila kutokana na contents na strategies...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Msaada wa hapo wakuu, Natafuta mawakala wanaosafirisha watu kwenda kutembelea Israeli.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nahitaji brand new laptop. napendelea sana HP Nyeupe. specifications 1. Internal memory ya 500GB hard disk 2. Ram ya 16GB ama 32GB 3. Core i 7 4. Graphic card 5. Touch screen Na mengine ambayo...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Habari za kazi wadau, tunauza begi ndogo kwa ajili ya wanaume za kuwekea cm, diary, charger nk, bei in sh 15000 zipo za vijana,za wakina baba nk pia tunafundisha kwa anaetaka kujifunza ,kwa Leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuuu naomba mwenye bidhaa nzuri tubadilishane pesa sina naanaza Mimi nina laptop
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Kuna wakati Watanzania tunakuwa tunashindwa kuitumia fursa tulionayo. Hiyo picha upande wa kulia unayemuona ni Maxence Melo ambaye ni mwanzilishi wa JamiiForums. Huyu jamaa anaingiza pesa ndefu...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
4GB DDR3 RAM, Expandable Up to 8GB500GB SATA HDDIntel HD Graphics 3000Core i3 (2nd Generation)6Cell (Li-Ion) Product information BrandHPColourImprint BlackItem Height36 MillimetersItem Width24.7...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Salaam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza; naomba kuelekezwa mahali panapouzwa hivyo vifaa vya kuhifadhia fedha kwa hapa Dar es Salaam. Nahitaji safe original kama hizi zinazoonekana pichani...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Make: Toyota Model: Progres Year: 1998 Engine: 1JZ CC: 2.5 Full AC/ Insurance to 2019 Price: 6M ( mazungumzo Kidogo) Contacts: 0784977269
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Salama humu? Mwenye gari aina ya noah hasa old model na anahitaji au angependa kubadilishana na mtu mwenye aina nyingine ya gari naomba anicheki pm tufanye biashara. Napatikana dsm.
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Wakuu salaaaaaam. Msaada. Natafuta mtaalam mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu wa kuweza kuteketeza gogo kubwa la Mbuyu (Baobab). Mbuyu huu mpaka sasa umeshafikisha miaka miwili tangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji masikio ya kitimoto halaka iwezekanavyo. Masikio yawe 100 hadi 150 jumla. Yawe makubwa makubwa na manene manene. Nipo Dar.
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Kwa ware wenye iPod, iPhone na iPad au smartphones zingine waweza kusikiliza mavituzi ya nyumbani kupitia radio iitwayo "Pride FM" toka Mtwara. Ni radio murua kabisa. Download Application iitwayo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*De Niza Natural Honey* aka *Asali ya Asili chapa De Niza* inazidi kukusogezea huduma karibu *INAPATIKANA MAENEO NA SEHEMU ZIFUATAZO*. 1. *Mbezi Beach* opp. Massana. 2. *Mbezi Juu* njia ya...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…