Gari aina ya noah inahitajika

Gari aina ya noah inahitajika

tycoonff

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
928
Reaction score
1,311
Salama humu?
Mwenye gari aina ya noah hasa old model na anahitaji au angependa kubadilishana na mtu mwenye aina nyingine ya gari naomba anicheki pm tufanye biashara. Napatikana dsm.
 
Ninayo Noah namba c nahitaji milioni saba tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom