Natafuta kiwanja Boko/Bunju/Madale

Natafuta kiwanja Boko/Bunju/Madale

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Kama unaishi kiwanja change ukubwa wa 20*20 au tofauti na hiyo Na kinauzwa Kwanini bei mzuri Weka hapa details na picha ikiwezekana....

Nitarudi
 
Mkuu ninakiwanja kiko madale nguzo mbili ni karibu na kituo kipya cha polisi cha madale,ni kama DK 5 kutoka barabara kuu,kina ukubwa wa 24 Kwa 26,kiwanja ni kizuri mno,process za upimaji ndo zinafanyika sasa.
Bei ni 13 million.karibu.
 
Mim ninauza kiwanja changu mwenye kipo mbezi msumi ni Jirani kabisa na madale kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 23 ninakiuza kwa milioni 5 hakuna udalali hapo njoo pm tumalizane
 
Back
Top Bottom