TUNAENDELEA KUKUEPUSHA NA MAJAMBAZI NA PIA KADHIA YA KUPOTEZA MUDA WA KWENDA DUKANI
Kuanzia kesho, utaweza kujipatia bidhaa hii kupitia www.builders.co.tz.
HAUNA HAJA YA KUTEMBEA NA PESA...
Wakuu natanguliza shukurani,
Natafuta madodoki,yalipo,yanapouzwa au yanapoweza kupandwa na kukua kwa wingi nchini Tanzania.
Natanguliza shukurani,niko njiani kukimbia umasikini.
TMK.
Kama kichwa kinavyo jieleza, naomba kujua bei ya mkaa kwa dar es salaam, kuna junia 40 zipo zipo tuu nahitaji kuzisafirisha kwenda Dar,, pia naomba kujuzwa bei ya mbao yenye urefu wa futi 10 aina...
Shemeji yangu amepatwa na maafa jana baada ya kuibiwa gari na mfanyakazi wa nyumbani ambae hana wiki akitokea kwenye makampuni yanayotoa wafanyakazi wa nyumbani..
Tuwe makini wapendwa. Popote...
Habari wakuu.
Kama wewe ni mkulima wa mioja ya mazao tajwa hapo juu, tutumie yafuatayo kwa whatsap ya namba 0713-039875:
1.Picha ya mazao
2.Uwezo wako wa kuzalisha kwa mwaka
3.Jina lako
4.Bei ya...
Habari zenu wadau?
Nahitaji kununua banana crips kwa wingi.
Nahitaji mtu anayetengeneza,sio muuzaji,ili nipate bei nzuri.
Zinahitajika Arusha town.
Njoo PM kama unazo banana crips.
Mzigo huo hapa nimepunguza tsh 280K nakupa mzigo
*nimeweka games nzuri action pamoja na racing
Hard disk bado nyeupe ikiwa na GB 150
RAM 2GB
Processor:Intel duo core
Farm for Lease
A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease.
The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
DELL OPTLEX 755 inauzwa.
SPECIFICATION:
HDD 250GB
RAM 2GB
DVD R/RW
WINDOWS 8.1 PRO
64 BIT OPERATING SYSTEM TYPE
PROCESSOR: CORE 2 DUO CPU 2.33 GHz
price 220,000/=
negotiable; Yes
contact...