Uko mbali mkuu ipo dsmkama una laptop used ninakama 150000/=Tzsh (laki na nusu) nipo tabora njoo pm ka mawsiliano zaidi
ni aina gani na mm naitajiUko mbali mkuu ipo dsm
io 650 ndo bei au model number ya io pcIpo hp 650 hdd 500 GB ram 4gb core i3 slim model nicheck 0716872076
Nina Samsung mini laptop HARD DISK 300GB,RAM 2GB
Tatzo lake betri haikai na chaji na spika ya nje inasumbua ninauza 130000 tu
naweza iona bossHp650 ni model
Haina specifications zingine??Nina Samsung mini laptop HARD DISK 300GB,RAM 2GB
Tatzo lake betri haikai na chaji na spika ya nje inasumbua ninauza 130000 tu
Hapana Mkuu,haina TATZO lingineHaina specifications zingine??
OkMkuu nicheki pm nikupe 100000