Nahitaji samsung galaxy note 8 second hand iliyo refurbished/renovated/decorated( i mean yenye muonekano mzuri).
Kwa anayeuza au anayeweza nisaidia wapi nitaipata(ntampa hela ya usumbufu) pamoja...
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI kwa sh.10000 tu kwa mwezi.
Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa,
Masomo ni asubuh+usiku kila siku.
Groups za practise, jifunze...
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA
Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi
PATA MCHELE SAFI KUTOKA KYELA
Ukifika...
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu bagamoyo, na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.
Heshima kwenu wakuu. Nahitaji Shamba mkoani Morogoro, kwaajiri ya kulima Mahindi na maharage, nahitaji la kukodi.
Ningetamani kama Shamba lingekuwa karibu na MTO ili mvua zikikata nimwagilie...
Ps3 250gb storage with 5 Games inside, 2 pads and full accessories For Sale Tsh. 350,000 Maelewano yapo. Nicheki Whatsapp Tu kwa 0625612638 au 0677888412
DAVIS CROSSBREEDING
Ni mzalishaji wa vifaranga chotara wa kuku .( wanapatikana kwa idadi yeyote)
Ni kuku wanaovumilia magonjwa.
= Wantaga mayai mengi.
= Wanastahimili magojwa.
Vilevile...
Habari wana jamvi! Naenda1 kwa1 kwenye mada!
Mimi ni Mwl by profession n napenda kuandika vitabu na nimeshaandika viwili mpaka sasa! Shida yangu ni Moja, nahtaji kupata kampuni au publisher...
Karibu na hongera kwa kuwa mfugaji wa kuku.
Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na...
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' kipo karibu barabara na pia stand kuu..!
Kwa matatizo ya Kiyoyozi (AC) fridge freeze na vifaa vyote vya kutengeneza baridi pia tunafunga na kurekebisha madishi umeme tupo kigamboni kinondoni na buguruni
Tupigie kupitia namba 0673772880...
This is the BEST NOAH 2007, very clean, in very GOOD CONDITION.. SPORTY RIMS 18 inches black with white stripes: NAUZA: HII NI GARI NZURI SANA TOWN KULIA kuku au Bush kote inaenda
Overview:
...