TV flat screen inahitajika

TV flat screen inahitajika

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,202
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Bajeti yangu ni laki 3. Iwe inchi 32 brand name yoyote ili mradi nzima na kwenye hali nzuri kabisa ingawa mpya pia itapendeza zaidi!! Vyuma vimekaza na kusababisha tetenasi.

Location Dar ama Tanga.

Picha muhimu through whatssap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom