Husika na kichwa hapo juu nauza hili blanket zito na kubwa kwa bei poa ya shiling elfu 50 sababu za kuuza kuna jingine nililetewa jepesi nikalipenda zaidi sasa ili inanibidi niuze coz mkoa niliopo...
Wadau,
Tunawatangizia kuwa tutakuwa na mafunzo ya siku 4 yanayohusu sheria za kazi na utatuzi wa migogoro kazini - Conflict Resolution & Employment and Labour Relation Act
Mafunzo haya ni bure...
Nahitaji gari ya kukodi tarehe 7 mwezi wa nne kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 6 usiku kwa ajili ya harusi, Aina za gari ninayohitaji ni Prado au range. Bajeti 250000.
Habarini
Kam kichwa kinavojieleza nauza lain ya mpesa bei ni 150000tsh. Haina tatizo lolote na ina document zote za muhimu ,,,napatikana ubungo maeneo ya kona
Mawasiliano 0752402586
0716058858
First time scholarship for MBBS (bachelor of medicine and surgery)
[emoji820]MBBS Partial Scholarship for 5 year
, English medium
1)—-
MBBS University:
[emoji820]Scholarship covers...
Habari wadau
Ndugu yenu nataka nijitwalie usafiri ili unisaidie mizunguko yangu ,sasa nmeona kuna sunlg xl 125 ila sijavutiwa nazo .
Mimi Navutiwa na pikipiki aina ya TVs kutokana na ulaji wake...
Wadau kuna rafk yangu kaniambia anahitaji rim sports za hard top cruiser Dodoma au singida, je atapata kwa sh ngapi kwa pc moja? Zinahitajika za chuma siyo aluminum
Vitu hivi nauza kwa bei ya chini sana
Jiko lenye plate mbili na meza ya kioo.
Tsh 60,000
Asali ya nyuki wadogo lita 4
Tsh 30,000
Laptop 230,000
Hdd 250
Ram 4gb
Processor Duo core
Mawasiliano...
Wafugaji wa kenya waliouziwa ng'ombe zao baada ya kuvuka mpaka na kuingia Tanzania, wamelipwa zaidi ya sh billion moja, kila ngombe mmoja serikali ya kenya imelipa sh million moja.
Wadau,
Tunawatangizia kuwa tutakuwa na mafunzo ya siku 4 yanayohusu sheria za kazi na utatuzi wa migogoro kazini - Conflict Resolution & Employment and Labour Relation Act
Mafunzo haya ni bure...
Kuku Tanga tunatitolesha na kuuza vifaranga vya kuku chotara kama kuroila, kembro Malawi etc
Bei zetu ni
1: kifaranga cha siku Tsh 1,800
2:Kifaranga cha wik Tsh 2,500
3: Kifaranga cha wk mbili...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mfanya biashara niliyevutiwa na uwekezaji kwenye sector ya ujenzi. Nilikua nauliza kuhusu mashine za:
1. Kusaga mawe na kutengeneza kokoto na changarawe ndogo ndogo...
JIPATIE PAMBA KALI KALI
Onlineshop from East africa tZ
JIPATIE SHOES[emoji151][emoji150][emoji152][emoji149][emoji148] ,JEANS[emoji158][emoji158],T-SHART)[emoji153][emoji154][emoji156][emoji160]...