Tunauza Kiwanja Salasala Marobo.
- Direction: Kutoka Salasala Mwisho wa rami hadi kwenye Kiwanja ni Kilomita 2.
- Ukubwa wa uwanja ni 400sqm.
- Una leseni ya Serikali ya Mtaa
- Umeme Upo
- Bei...
kwa wale trader wanaotaka kutrade na FXTM soon watakuwa na seminar buree kabisaa akuna mambo ya fees hapa jiunge ufungue account kwa maelezo lini na saa ngapi
Online Forex Trading Broker |...
Jana nilitangaza kuuza pikipiki yangu,,asanten kwa wote mlionishaur naambatanisha na picha,,pikipiki ipo posta karibu na ofisi za bot!! Document zote ninazo,,ina bima lakin third part inaisha mwez...
Mbinu mbalimbali za kupamba keki kwa njia rahisi, kwa vifaa vya kawaida kabisa unavotumia nyumbani kwako. utapata ubunifu zaidi. kwa 2000/= tu (nafundisha ndani ya wiki mbili). Online course kwa...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kunavojieleza.
Naitaji msaada wa taarifa kuhusu soko la kuku au wanunuaji wa jumra jijini dar es salaam.
Kuku ni wakienyeji toka singida, bei maelewano...
Kowak Girls' High School, shule bora kabisa kwa sasa kanda ya ziwa. Karo yao ni nafuu, in shilingi milioni mbili kwa mwaka na inalipwa kwa awamu nne. Godoro na kitanda, na chakula vinapatikana...
Jamani nahitaji yoyote mwenye gali ndogo kama ist, , Ractis na anaitaji aingize pesa kupitia UBER tuingie mkataba kwa wiki nimletee hesabu ya 200,000 kwa wiki tuandikishane gali iwe kwenye hali...
Habari zenu ndugu na jamaa,
Naitwa Enock, napatikana Mbeya mimi ni fundi wa sofa pamoja na vitanda vya sofa.
Bei za vitanda ni kama ifuatavyo;
3 × 6 sh 150,000
4 × 6 sh 200,000
5 × 6 sh 250,000...
Ukubwa wa kiwanja ni hatua 20×40.
Kipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya morogoro kuelekea Simbani/Halmashauri ya Mji Kibaha.
Bei shilingi 5.5 M.
Njoo PM.
Ninauza simu mpya za kisasa toka nje ya nchi kwa bei nzuri kabisa. kama unahitaji unaipata ndani ya siku 5- 7 unaletewa ulipo. utaratibu ulivyo ni kuwa utatoa Advance kiasi ambacho tutakubaliana...
Waungwana, nimepata soko la ''organic honey'' inayopatikana hasa Tanzania natafuta mtu wa ku-partner awe na kampuni yenye business profile na certified ya TFDA
Please inbox
Je unataka kujiajiri lakini hauna wazo ufanye biashara gani?
Je una mtaji kidogo chini ya 100,000?
Je wewe ni mchapakazi na muaminifu?
BEAH NUTRI-FLOUR inajihusisha na uuzaji wa unga bora wa...
Habari zenu wakuu…!
Sasa waweza kupata mayai ya kienyeji (fresh) yaliyotagwa ndani ya masaa 48 (siku mbili) moja kwa moja kutoka shambani (Bunju B – Mabwepande), yanafaa kwa kuliwa na pia kwa...
We live in a world where 2 + 2 = 5, Just as 1 + 1 +1 = 1
If you are confused [emoji53], read this:
Who is god?
Jesus
Is Jesus the son of Mary?
Yes
Who created Mary?
God.
Who is God?
Jesus...