Rejea post yangu hii Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?.
Nilibahatika kuzunguka msimu wa pasaka ili kujifunza na kuangalia...
An Houbara bustard, which was bred in Abu Dhabi, is released into the wild in Jordan
Abu Dhabi partnership sees thousands of Houbara bustards transported in last three years
Abu Dhabi...
Natafuta wasambazaji wa mikate aina zote. Mikate ya Tshs 1000 utauziwa kwa Tshs 650 tu. Hii ni pamoja ya skonzi,kawaida,Toss na mingine. Tuko DAR wasiliana nasi kwenye no 0767609044
Habari!
Kiwanja chauzwa kipo Pugu Stesheni karibu na machinjioni. Pamejengeka, huduma za jamii zipo ikiwemo umeme. Ukubwa wake ni futi 67 kwa futi 58. Bei ni 4.8 milion . Kwa maswali karibuni...
Salam nyote. Ni matumaini yangu mu-buheri wa afya!
Nina shida na nyoka hai aina ya Cobra mwenye sumu yake kama alivyo! Nimesakanya maporini sijamuona kabisa.Nawaona tu nyoka wengine kindakindaki...
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
Nazi kutoka Tanga zinauzwa kwa jumla kuanzia 60. Tupo DSM na Tanga hata mikoani tunasafirisha, karibuni wote na tuwasiliane kupitia 0718175353.
#KILIMOBIASHARA #KILIMOKWANZA #TANZANIA
Ukata wa fedha katika uwekezaji na kukuza biashara umepata tiba baada ya Commercial Bank of Africa kusema itashirikiana na wafanyabiashara kuwapa mikopo hadi kufikia dola za kimarekani millioni...
Mene mene tekel upharsin
definition from
A Dictionary of the Bible - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mobisystems.msdict.embedded.wireless.oxford.oxfordbible
Mene mene tekel...
[emoji433] Ni mashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga..
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi mmoja ni Tshs 20,000/=
Ubadilishaji wa mtungi wa GAS mmoja mdogo Kg 6...
[emoji736] Ndio ni suruhisho la wajasiriamali[emoji736]
Ni mashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga..
Gharama ya mwezi mmoja ni Tshs 20,000/= kwa ajili ya...
Natafuta kiwanja cha wazi cha kupanga au eneo liliowazi kwa ajili ya kufanyia biashara ya mbao inaweza kuwa hata mbele ya nyumba, maeneo ya kigamboni visiwani centre, Ngoma au kinyerezi...
JIPATIE BODA BODA KWA BEI POA. TSH 1,650,000 TU.
NI ZA 150CC NA 125CC.
WAHI PROMOTION HADI TAREHE 30.04.2018.
WARRANT: MWAKA MMOJA.
SERVISE: MIEZ 6 BURE
MAFUTA KIDUCHU MWENDO MREFU( LITA 1...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Nyumba inapangishwa Arusha maeneo ya Olasiti.Nyumba ni Self contained ina vyumba Vinne,kimojaaa ni master, dining,jiko,sitting room,Choo na bafu...