Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wandugu naomba anaejua nitakapopata power supply ya Haier smart TV 32inch Asante
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Habari, ninatafuta kampuni inayofanya export ya nyama hasa export ya utumbo wa ng'ombe( beef omasum). Kama unafanya au unamfahamu anaefanya hiyo biashara naomba tuwasiliane. 0652601602
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natumaini hamjambo Naomba kwa anayeweza au anayefahamu hivi gharama za kusafirisha mizigo ya kifamilia toka Moshi kwenda kigoma inaweza cost tsh ngapi?? maana nategemea mwezi disemba...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Namba hii hapa 0757802404 mkamateni sasa mpuuzi huyu!!
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Grams 52 bei 180000 nicheki 0715407585
0 Reactions
3 Replies
2K Views
“Sub-Woofer” aina ya Aborder AB 831BT kama inavyoonekana katika picha, inauzwa kwa bei ya shilingi laki moja tu (sh.100,000/=) bila punguzo. Vilevile pata “Deep Fryer” kama inavyoonekana kwenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Full Dell Desktop with accessories on sell; - Processor: Core i7, 3.4Ghz - RAM: 8GB - HDD: 500GB - Graphic Card: Nvidia GeForce GT 710, Total size 6GB - Clean condition - Excellent for office...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba nzuri yenye uimara inauzwa -ina vyumba vitano vya kulala -ina ukumbi mdogo wa sinema -ina nyumba ndogo ya wafanyakazi -ina ofisi Iko latika eneo la ukubwa wa 4329 sqm Eneo ni mbezi juu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji Fundi mzuri wa Engine ya RAV4 hapa DAR. Anae mfaham naomba anijukishe. Mimi naishi Tabata ila popote namfuata. Aweke na mawasiliano ili iwe rahisi kumfikia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama wewe ni mnunuzi wa uhakika, au una mnunuzi mwenye uhakika nicheki inbox upate nyumba nzuri na imara yenye -vyumba vitano vya kulala -sebule -sehemu ya chakula na jiko -ukumbi mdogo wa sinema...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WADAU, NATAFUTA SHAMBA LA KUNUNUA MKOANI MOROGORO KWAAJIRI YA KILIMO KIKUBWA. LIKIWA KARIBU NA CHANZO CHA MAJI ITAFAA SANA. NAITAJI EKA 50-100. AHSANTE.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Xiaomi mi 5x Ram 4GB Capacity 64GB Dual camera 12MP+12MP Battery Capacity 3080mAh Clean condition has a minor crack on kwenye screen kwa juu bei 350k Mawasiliano : 0746142301 Location :DSM
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Habari Wakuu, Nimatumaini yangu Wote wazima na Mnaendelea na Shughuli zenu za Kila Siku Kama Kichwa cha uzi huu kinavyojieleza nahitaji Video Editor App Androids na pia kama Zipo kwa Matumizi...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Habar ya asubuhi wenzangu .nnahitaji vanilla nyingi au naamaanisha mzigo wa vanilla ambazo hazijakamuliwa .naombeni mnielekeze mahali zinapopatikana au ambae anazo anijulishe ntashukuru sana...
0 Reactions
3 Replies
630 Views
DoviIlen Property DoviIlen Property
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Habari wakuu, Nauza laini za uwakala, ziko mbili ya tigopesa na airtel money. Zote naziuza kwa Tshs.300,000/= ama kwa moja moja tigopesa nauza Tshs.180,000/ na airtel money nauza Tshs.120,000/=...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari wana jf nahitaji msaada wenu. nahitaji hii gundi inayoitwa simba. nahitaji dumu la lita nne mawili nina 60000 kwa yote mawili.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kama wewe ni Mwanafunzi wa Secondary au Chuo,ungependa kuishi hostel ili uweze kusoma kwa utulivu,Hostel zipo zinapatikana maeneo ya Ukonga-Banana zina kila kitu ndani Njoo na...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Back
Top Bottom