Solar nzuri kwa matumizi ya nyumbani

Solar nzuri kwa matumizi ya nyumbani

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Salaam, napenda kujua ni sola ipi nzur nitumie kwajili ya matumiz ya nyumban , nipo mwanza. Ahsanteni.
 
Salaam, napenda kujua ni sola ipi nzur nitumie kwajili ya matumiz ya nyumban , nipo mwanza. Ahsanteni.
Ili ujue ni solar ya size gani utaihitaji,itabid ufanye yafuatayo
1.orodhesha vifaa vyote utakavyohitaji kuvitumia kwa umeme huo wa sola
2.angalia power rating (watts) ya kila kifaa( Mara nyingi huwa zinaandikwa kwenye hvyo vifaa,nyuma)
3. Kadiria muda (masaa) utakayotumia kwa kila kifaa mfano: utatumia TV kwa muda wa masaa manne,radio masaa matatu, taa masaa sita kwa siku n.k
4. Zidisha power rating zako ya kila kifaa na masaa mfano: TV ina 40watts na makadirio ya matumiz kwa siku ni masaa manne hapo jumla ya power kwa TV pekee kwa siku ni 40×4=160w. Utafanya hivyo hivyo kwa vifaa vingine vilivyobaki halafu mwisho utajumlisha power za kila kifaa ili upate power itayotumika kwa siku. Jibu utakalopata,litafutie 35% kisha ujumlishie kwenye hiyo total yako. Hapo utakuwa umepata kiasi cha power kitachohitajika kwa siku ( hyo 35% ni kama reserve coz sio vizur saaaana kulitumia Betri mpaka likazima,litawah kufa kabla ya muda wake) maelezo ni meng kama hujaelew utaniuliza
 
Zola kuna sehem nimefunga mwaka wa 2 haisumbui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom