Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam wadau..ninauza pikipiki aina ya Honda 110 ya japan orijino.Iko vizuri kabisa.Bei 1.8m maongezi yapo.Karibuni.Kwa mawasiliano 0689900000
1 Reactions
30 Replies
16K Views
NAUZA CM YANGU TEKNO K9 INAMIEZI 6 TANGIYA NI NUNUWE BEI 250,000 MAHALI ILIPO DODOMA MAWASILIANO 0715-555209
0 Reactions
1 Replies
789 Views
kampun ya kitanzania Msallamo Agro Envi ltd wanaojishughulisha na technolojia mbalimbal za maisha ambazo ni rafiki kwa mazingira,tunawatangazia tena kuwa tunauza digesters ambazo ni mbadala wa...
5 Reactions
43 Replies
11K Views
mimi ni mkazi wa dar es salaam kigamboni. tafadhali kwa anayejua watu au kampuni au shirika linalotoa mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza tomato sauce, crips, sabuni ya unga na ya kipande na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Amani kwenu wadau, Nauza tv flat aina ya star x '22, bado mpya na makaratasi yake. Imetumika miezi 2 tuu. Box, remote na cable zake zote vipo. Any serious buyer call/text 0754669580 price...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kuku wa kienyeji mmoja tu anayetaga. Sio chotara. NB: Awe anaendelea kutaga maana nataka. Kama unaye sema hapa nikutafute, nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Habari ndugu, Kichwa cha habari kinajieleza, nyumba ipo kwenye lenta inauzwa milioni 18.5 ipo kigamboni. Eneo lenye nyumba lina ukubwa Wa upana mita 15 na urefu mita 19. Nimeambatanisha na picha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sony Xperia Ax1 mpya kwenye box, unlocked, price tsh 450000"phone 0712652110
0 Reactions
0 Replies
428 Views
wadau natafuta wadau wenzangu waliomaliza kidato cha nne Mwaka 1983 Hapo Shaaban Robert Secondary plz wanicheck in box
1 Reactions
11 Replies
728 Views
Mimi nina hekari 3 maeneo ya bagamoyo mwavi na nimelima mahindi sema sina uzoefu wa masaki. Naomba ushauri kuhusu soko lake
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Simu ipo poaa bei ni iyo hapo juu nipo dar ukipenda njoo pm.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SEGUIN CREDIT INVESTMENTS Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu: a) Mikopo ya dharura b) Mikopo ya mtaji au kupanua...
3 Reactions
255 Replies
33K Views
*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
P. O. Box 1880, Morogoro Tel: +255 758 303 090,+255 684 210 277 Email: swahiliwaterworks@gmail.com Website:www.swahiliwaterworks.wix.com TIN: 121-299-046 MATUMIZIYA SUPER GRO MASHAMBANISupergroni...
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Pata hosting space kwa ajili ya website yako kwa gharama nafuu kabisa ya kuanzia sh 36000 kwa mwaka mzima. Weka order yako sasa Email: info@grouprinc.com Phone: 0742878443
0 Reactions
0 Replies
696 Views
*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye kioo cha tecno phantom z ( Tecno A7) anijulishe hapa tafadhali. Ni Muhimu sana.
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…