Jipatie mashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga

Mar 27, 2018
10
3
Ndio ni suruhisho la wajasiriamali

Ni mashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga..
Gharama ya mwezi mmoja ni Tshs 20,000/= kwa ajili ya ubadilishaji wa mtungi wa GAS mmoja mdogo Kg 6

Mashine yetu ambayo inaingiza mayai 1408 gharama za uendeshaji ni ubadilishaji wa mtungi wa GAS..
Lakini ingekuwa mashine ya kutumia UMEME tu lazima ungeandaa zaidi ya ELFU 70 - 80 ili kumudu uzalishaji wa mwezi mmoja..

MASHINE HIZI UHAKIKA WA UZALISHAJI NI 99% KUPATA VIFARANGA


NI AUTOMATIC INCUBATOR

Pia utakapo nunua mashine hizi utapatiwa na vifaa vifuatavyo.

BATTERY MOJA
SOLAR PANEL 3 jumla zinakuwa na 150W
INVERTER 1
CONTROL CHARGE 1
MITUNGI MIWILI YA GAS Kg 6


Pia INCUBATOR zinazotumia UMEME na vyanzo vingine zipo..

BACKUP INVERTER ZIPO ZA KUANZIA 700W - 10000W

BEI ZA SOLAR NA GAS INCUBATOR

Mayai 176 = Tshs 1,400,000/=
Mayai 264 = Tshs 1,500,000/=
Mayai 352 = Tshs 1,800,000/=
Mayai 440 = Tshs 2,000,000/=
Mayai 528 = Tshs 2,200,000/=
Mayai 704 = Tshs 2,300,000/=
Mayai 880 = Tshs 2,800,000/=
Mayai 1408 = Tshs 3,500,000/=


BEI ZA MASHINE ZA UMEME TU.

Mayai 176 = Tshs 650,000/=
Mayai 264 = Tshs 850,000/=
Mayai 352 = Tshs 1,000,000/=
Mayai 440 = Tshs 1,200,000/=
Mayai 528 = Tshs 1,300,000/=
Mayai 704 = Tshs 1,600,000/=
Mayai 880 = Tshs 1,800,000/=
Mayai 1408 = Tshs 3,500,000/=


Tunapokea ODA za JUMLA na wateja wa jumla wnakuwa na bei zao
Jumla ni kuanzia mashine tano

Kwa mawasiliano zaidi

+255 713 852 296
+255 755 450 970
+255 787 309 396

Bidhaa zetu zina.
WARRANTY YA MWAKA MMOJA

TUPO
DAR ES SALAAM
UBUNGO RIVERSIDE

Zifuatazo ni picha za bidhaa zetu za INCUBATOR


FB_IMG_1521811118194.jpg

FB_IMG_1521811059862.jpg

FB_IMG_1520918476655.jpg

FB_IMG_1521811076382.jpg

IMG-20180413-WA0018.jpg

IMG-20180413-WA0019.jpg



KWETU MTEJA KWANZA

 
Back
Top Bottom