Changamkia fursa ktk kilimo

Sep 15, 2016
16
17
Kwa Mahitaji ya mashamba kwa bei ya tsh laki moja tu kwa eka
Mashamba yanapatikana ktk mkoa Wa njombe, tarafa ya lupembe
Yanafaa kwa kilimo cha Miti ya mbao, matunda aina ya parachichi
Nanasi,maharage n,k
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929
Pia utapata Miche ya maparachichi aina ya hasi kwa tsh 2500 tukila mche na Miti aina ya pine kwa tsh 100 tu kwa mche
FB_IMG_1512928126986.jpg
FB_IMG_1512928140153.jpg
 
Hivi mashamba ya kupanda miti au maparachichi yanawezwa kukodishwa?
Ndio!. Mnakubaliana tu kila mwaka unamlipa kiasi gan japo changamoto kubwa ni pale atakapolihitaji shamba lake anaweza kukuharakisha uvune miti yako hata ya miaka 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom