Mikopo mpaka bil. 110/- atakayetaka

Mikopo mpaka bil. 110/- atakayetaka

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Ukata wa fedha katika uwekezaji na kukuza biashara umepata tiba baada ya Commercial Bank of Africa kusema itashirikiana na wafanyabiashara kuwapa mikopo hadi kufikia dola za kimarekani millioni hamsini (shilingi bilioni 113 za kitanzania) kwa atakayetaka.

Chanzo: NIPASHE
 

Attachments

  • IMG_20180423_091037.jpg
    IMG_20180423_091037.jpg
    175.3 KB · Views: 39
Siasa za kibashite hizo....kipindi hichi ambacho kila bank inalia na kuhaha jinsi ya kushusha NPA kutokana na uchumi kuanza kudorora wao wanajifanya kumwaga hela huko wakati iko wazi mikopo kwa sasa bank zinapiga brake kutokana na sera zisizotabirika. Majuzi wametangaza kushusha interest rates bila kuzingatia uchumi ulivokaa...mradi wamfurahishe bwana yule
 
Benki zingine ni sarakasi,bilioni 100 wanazijua kweli.
 
Back
Top Bottom