Naweza kupata shamba/kiwanja Dodoma kisichozidi milioni 1

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Habari wanaJF,

Naomba kujuzwa kwa wale wakazi wa Jiji la Dodoma ninaweza kupata kiwanja ambacho bei yake ni chini ya Mil. 1 hata kama ni shamba?

Eneo nauli kutoka mjini isizidi 500, au kwa namna nyingine pasiwe zaidi ya Km. 25

Ahsanteni.
 
Kwahyo bei na mahala unapotaka(mjini) sidhani kama utaweza kupata kiwanja dodoma iko juu sana kwasasa. Zamani nzuguni, makulu nk ilionekans ni kijjjn(nje ya mji) lkn kwa sasa viwanja havikamatiki maeneo hayo.
 
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Mkuu viwanja dodoma ni habari nyingine, muhimu endelea kujipanga ili upate kitu cha uhakika.
 
Habari wanaJF,

Naomba kujuzwa kwa wale wakazi wa Jiji la Dodoma ninaweza kupata kiwanja ambacho bei yake ni chini ya Mil. 1 hata kama ni shamba?

Eneo nauli kutoka mjini isizidi 500, au kwa namna nyingine pasiwe zaidi ya Km. 25

Ahsanteni.
unapata maeneo yasiyo pimwa na pembeni kidogo mji mfano michese,nara,ntyuka na veyula na maeneo yote niliyo kutajia hayafiki umbali wa km 15 Dodoma ni jiji dogo km 25 ni mbali sana sana tafuta dalali mzur atakusaidia na uzuri wa Dodoma huko kwote kuna huduma muhimu usikate tamaa na maneno ya watu uzuri umeshasema unataka pembeni mwa mji
 
Unaweza kupata chigongwe km 20,ntyuka,nala,mpunguzi nk.
 
unapata maeneo yasiyo pimwa na pembeni kidogo mji mfano michese,nara,ntyuka na veyula na maeneo yote niliyo kutajia hayafiki umbali wa km 15 Dodoma ni jiji dogo km 25 ni mbali sana sana tafuta dalali mzur atakusaidia na uzuri wa Dodoma huko kwote kuna huduma muhimu usikate tamaa na maneno ya watu uzuri umeshasema unataka pembeni mwa mji
Ni kweli mimi nimenunua ntyuka wala sio mbali na mjini. Ni kama dk 15 tu kutoka mjini na nauli ni tsh 500 tu. Huduma ya umeme na maji yapo ya uhakika.
 
Umenunua kwashngap mkuu
 
Yeah njooo na hiyo hela nikupeleke malaika uta enjoy lkn msituletee vi hela mbuzi kuja kuchukua kiwanja kwe jiji la Dodoma Jana tu mashamba yamepanda kwa %100
 
WINCH kama upo serious kabisa nitafute PM tuelewane nikumegee kipande changu maeneo ya Mkonze- Bwanachai kabla ya kufika kituo cha Trafiki ukiwa unaelekea Iringa!..
Kama upo serious kweli niPM!..
(Bei haitakuwa hiyo unayotaka, lakini haitafika 2.5M pia!).
 
Back
Top Bottom