Wapi nitapata mafuta makali

Wapi nitapata mafuta makali

Tatetitotu

Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
58
Reaction score
42
Wasalam wanajamvi,kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mafuta makali kwa ajili ya kusafishia madumu yaliyokuwa yamewekwa gundu anayefahamu anijuze mahali napo weza ya nunua
 
gundu? kumbe gundu inahifadhiwa kwenye madumu
 
Tumia thinner au benzene.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Kweli gundu sio kitu poaaaa
 
Back
Top Bottom