MSAADA: Sumu/Dawa ya kuua mchwa ni ipi?

MSAADA: Sumu/Dawa ya kuua mchwa ni ipi?

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,092
Reaction score
27,181
Wakuu, mchwa wamevamia sehemu ya dari la geto langu ambapo upande huo sikutumia mbao ambazo ni treated. Naombeni mnipe ushauri nitumie mbinu gani waweze kuangamia. kama kuna dawa ya sumu ya kuwaua naombeni mnitajie jina lake na inapatikana maduka gani ukiwa jijini Dar.

Natanguliza shukrani zangu
 
Daah,MODS naomba mnisaidie kuswap hayo maneno ya kwenye title isomeke "ya kuua mchwa"
 
Jamani kama kuna mtu amefanikiwa kuwamaliza mchwa wala mbao naomba kujua jina la dawa.
 
Back
Top Bottom