Kiyumbi Yuga
Member
- Dec 13, 2017
- 92
- 169
Habari za majukumu ndugu zangu wana JF ,kama title inavyojieleza,naomba msaada wa kupata gari ya bei ndogo (used). Nahitaji usafiri wa mambo yangu ya hapa na pale. Mwenye kuweza kunisaidia anitafute wasap kwa +255767551871. Ahsante