Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu.
Vyuma vimekaza na ada za watoto zinakaribia. Ndugu yangu anauza eneo lake ili taifa la kesho liweze kupatikana. Wajomba wanahitaji ada za kwenda shule...
Toyota Raum
New Model
Year: 2003
Engine: cc1490 vvt-i
Fuel: Petrol
Mileage: 110,000 km
Location: Dar
Good and clean condition
Price: 8m
Njoo Tufanye Biashara
Call/Sms 0713706675 or 0689858324
Nina viwanja viwili kwa hio nauza kimoja kipo Pugu Kajiungeni, umbali wa kiwanja na barabara kuu ni kutembea dakika kumi. Mita 20 kwa 23 bei maelewano barabara ipo, umeme upo mpakani na kiwanja...
Movie ni za Ulaya...pamoja na documentary kali na katuni za watoto. Series ni chache mno ila zilizoenda shule. Unachagua katika utakazo zikuta....muvi 20 buku jelo tu....whatsapp. 0624132227 call...
Wadau nauza kiwanja changu kipo pugu kajiungeni unashuka kituo cha seremala..panafikika na gari, umeme upo nyumba ya jirani ,,huitaji nguzo,,ni sehemu tayari watu wamejenga na wanaishi
ukubwa ni...
Habari zenu WANA jf,naombeni KWA anaetambua vilipo viwanda VYA kutengeneza chakula cha kuku DODOMA NA SINGIDA aniambie pamoja NA CONTACT zao no yangu ni 0659962232.
Nataka kuuza mabelo ya mtumba kwa jumla .wapi ntapata mzigo wa jumla namimi niweze kuuza jumla. Naomba mwenye taatifa ya bei za jumla nguo nziro zisizo chakachuliwa Na mtaji kiasi gani...
Kuna shamba kama eka 4 Madale Dar es salaam, nafanya kilimo cha mboga mboga na ninatarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kisasa.
Kuna Banda la kuku, Nyumba za kuishi wafanyakazi, Kisima kirefu na...
Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji.
Lipo karibu na mto mkubwa..
Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo..
Npo mbeya mjini
Msaada jamani
Wanajamvi
Salaam;
Nahitaji tv yenye ukubwa tajwa aina yoyote,isiwe imechoka sana! Bei maelewano..! Mwenye nayo atume picha hapa na bei halafu aje inbox aweke number ntampigia!
Nawasilisha!!
Habarini,
Ni kweli wananchi wa Afrika hawana nguvu juu ya usimamizi wa sheria za nchi zao kwani Serikali za Kiafrika zinakandamiza haki za wafanyakazi kiasi kwamba Mfanyakazi anathaminiwa pale tu...
Wadau habari zenu
Naomba kuuliza kwa Dar es Salaam chuo gani kizuri cha ufundi, ufundi cherehani, upambaji au maswala ya saloon.?!
Wanapokea watu wenye qualification zipi
Na huwa wanaanza mwezi...
Wakuu habari ya Majukumu
Tuna tafuta business partner, kwa ajili ya kuwekeza kwenye kiwanda cha Kuassemble magari, kwa kutumia brand yetu.
Namaanisha kiwanda cha magari hapa Nchini, kwa kutumia...
Habari wanabodi!
Kila ndoto ya mzazi ni kutaka mtoto wake aje kuwa na mafanikio makubwa baadae katika maisha yake,ndio maana wazazi wengi wanajibana kuhakikisha watoto wao
wanapata Elimu...
Habari wadau;
Ninahitaji msaada kwa ambaye ni dereva wa malori yanayotoka arusha kuja dar yakiwa bodi.
nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha kitanda 5 by6 na godoro pamoja na sofa ya watu...