Printer Tshs 100,000


M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
wakuu mwenye kujua printer zinazouzwa tsh. 100,000 hadi 110,000 anijuze. pia asisahau kunijuza aina ya printer(specification) pamoja na duka zinapouzwa.
 
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
wakuu mwenye kujua printer zinazouzwa tsh. 100,000 hadi 110,000 anijuze. pia asisahau kunijuza aina ya printer(specification) pamoja na duka zinapouzwa.
 
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
2,024
Likes
89
Points
0
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
2,024 89 0
Mkuu unahitaji printer aina gani:-
Laser au inkjet
color or mono
printer peke yake au 3 in 1
Kama ni inkjet am sure unaweza kupata kuanzia elfu 60 au 70 let alone laki, laser ndio zipo kwenye kilo na ushee
 
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
Mkuu unahitaji printer aina gani:- Laser au inkjet color or mono printer peke yake au 3 in 1 Kama ni inkjet am sure unaweza kupata kuanzia elfu 60 au 70 let alone laki, laser ndio zipo kwenye kilo na ushee
mkuu sina utalaam zaidi na printer lakin mm natafuta iwe ni leaser, tena nikiipata yanye bei kama niliyosema hapo kesho tuu naenda kuichukua. nimesikia kuna hizi HP leaser 1010, unaweza ukazifahamu?
 
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
3,324
Likes
135
Points
0
Amoeba

Amoeba

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
3,324 135 0
Printer ya elf 25 hautaki?..hahahaa!
Nachojaribu kuonesha ni kuwa inabidi ufahamu kwanza mahitaji yako!
 
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
2,024
Likes
89
Points
0
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
2,024 89 0
mkuu sina utalaam zaidi na printer lakin mm natafuta iwe ni leaser, tena nikiipata yanye bei kama niliyosema hapo kesho tuu naenda kuichukua. nimesikia kuna hizi HP leaser 1010, unaweza ukazifahamu?
Kwa sasa nipo mbali lakini kama ni issue ya bei nina uhakika kwa Dar ndio itakuwa cheap, sina uhakika na hii 1010 lakini sidhani kama itazidi laki moja na nusu au labda laki mbili.., hapa issue itakuja baadae ambapo catridge zake unaweza kuzipata kwa bei ya kawaida kama laki moja lakini unaweza ukapata kwa elfu 80, kwahio for future use itabidi ujaribu kurefill hizi catridge ili kusave cost

Kwa kazi za kawaida kuprint documents nadhani laser ni nzuri ila kama unataka kuprint colour inabidi upate inkjet kuhusu hii printer zaidi angalia hapa
HP LaserJet 1010 Overview & Specs - Laser Printers - CNET Reviews
 
Doltyne

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
443
Likes
11
Points
35
Doltyne

Doltyne

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
443 11 35
Mi nina HP deskjet F4280 around ur budget na change itabaki. Haina wino, hii ni 3 in 1, yaani copier, scanner na printer kwa pamoja. Kama uko interesated nicheki kwa simu 0714881500... Iko boxed and in a like new condition.
 
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
3,078
Likes
15
Points
135
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
3,078 15 135
wakuu mwenye kujua printer zinazouzwa tsh. 100,000 hadi 110,000 anijuze. pia asisahau kunijuza aina ya printer(specification) pamoja na duka zinapouzwa.
Mkuu unatakiwa kujua unataka hiyo printer ikufanyie nini, then hayo mambo ya bei au specifications ndio kinafuata...
 
SIMBA mtoto

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
205
Likes
10
Points
35
SIMBA mtoto

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
205 10 35
Mkuu, unaponunua printer ya bei ndogo, ndivyo gharama za wino inakuwa kubwa, inkjet na deskjet gharama ya wino ni kubwa sana. Ukinunua wino leo ukiprint kurasa 100 wino umekauka.

Laser printer ni ghali kuanzia sh. 200,000 na kuendelea na wino wake pia ni ghali lakini ukiweka wino utaprint kurasa zaidi ya 3000 ndiyo wino utaanza kufifia.
 
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
Mkuu unatakiwa kujua unataka hiyo printer ikufanyie nini, then hayo mambo ya bei au specifications ndio kinafuata...
wakuu kwa matumizi ya kawaida, yaani kuprint karatasi tuu. tena ni nzuri kama itakuwa black and white.
 
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
2,024
Likes
89
Points
0
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
2,024 89 0
Wakuu mnaoweka printers hapo juu (inkjet) nadhani majogajo anataka laser printer (tena anataka hp 1010 to be exact), sasa nyie mnamuonyesha inkjets..

Anyway mkuu kwa ufupi naomba uniambie unataka hii printer kufanyia nini biashara au kazi zako za nyumbani za kawaida.., kama biashara nashauri ununue laser (ingawa hii ni rangi moja, b/w kwahio utashindwa kuprint cards na kazi nyingine za rangi, ambavyo kwa inkjet ungeweza). Printer za rangi laser zipo (ila running cost ni kubwa sana) sababu zina catridge nne, na kila moja zaidi ya laki moja (hapo ni laki nne) yaani catridge zina bei kuliko printer (laser printer ya rangi ni kama laki mbili na nusu).

Kama ni kazi za nyumbani kutoa barua moja kwa siku kadhaa nakushauri nunua inkjet iwe 3 in 1 au hata ya kawaida tu (ambayo unaweza kupata kwa elfu 60) catridge za hizi inkjet zote mbili unaweza kuzipata kwa elfu 70 au 60 (na mara nyingi zinatoa page chache sana kama 200) kwahio utaona running cost ni juu (ila kuna way out badala ya kununu catridge mpya unaweza kurefill catridges kwa kutumia sindano zaidi ya mara tano kila wino ukiisha (hapa utapunguza matumizi kwa hali ya juu).

Pia kama unaona usumbufu kurefill kila mara unaweza kununua printer ambayo unaconnect CISS (continous ink system) ambayo catridge zinakuwa zipo connected kwenye mitungi wa wino kwahio wino ukiisha inavuta wino, wewe kazi yako ni kujaza mitungi tu (ingawa hii inashida moja kama printer haitumiki sana mara nyingi head zinakuwa zina shida ya kuziba)

Kwahio in short mkuu utaona kwamba kununua printer inategemea na yafuatayo

Budget yako: Inkjet ni bei rahisi kuliko laser ila running cost ni kubwa (ingawa ukiwa unarefill running cost inapungua, (kumbuka hata laser unaweza ukarefill pia)
Matumizi: Laser ni heavy duty kuliko inkjet ila kama unaprint rangi ni bora uchukue inkjet ambayo ni cheaper running cost na quality ya picha ni nzuri
 
Last edited by a moderator:
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
Wakuu mnaoweka printers hapo juu (inkjet) nadhani majogajo anataka laser printer (tena anataka hp 1010 to be exact), sasa nyie mnamuonyesha inkjets.. Anyway mkuu kwa ufupi naomba uniambie unataka hii printer kufanyia nini biashara au kazi zako za nyumbani za kawaida.., kama biashara nashauri ununue laser (ingawa hii ni rangi moja, b/w kwahio utashindwa kuprint cards na kazi nyingine za rangi, ambavyo kwa inkjet ungeweza). Printer za rangi laser zipo (ila running cost ni kubwa sana) sababu zina catridge nne, na kila moja zaidi ya laki moja (hapo ni laki nne) yaani catridge zina bei kuliko printer (laser printer ya rangi ni kama laki mbili na nusu). Kama ni kazi za nyumbani kutoa barua moja kwa siku kadhaa nakushauri nunua inkjet iwe 3 in 1 au hata ya kawaida tu (ambayo unaweza kupata kwa elfu 60) catridge za hizi inkjet zote mbili unaweza kuzipata kwa elfu 70 au 60 (na mara nyingi zinatoa page chache sana kama 200) kwahio utaona running cost ni juu (ila kuna way out badala ya kununu catridge mpya unaweza kurefill catridges kwa kutumia sindano zaidi ya mara tano kila wino ukiisha (hapa utapunguza matumizi kwa hali ya juu). mkuu mm ninacentre yangu ambayo ninatunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi kila weekend, so nahc kwa ck naweza nika print kama page kumi, je hii deskjet 2050 itafaa? maana nmeshindwa kununua kutokana na kutokuwa na ushauri wa kina.na uharikaji wake upoje? pia kama niki refill ni sh ngapi na ntatoa page ngapi? Pia kama unaona usumbufu kurefill kila mara unaweza kununua printer ambayo unaconnect CISS (continous ink system) ambayo catridge zinakuwa zipo connected kwenye mitungi wa wino kwahio wino ukiisha inavuta wino, wewe kazi yako ni kujaza mitungi tu (ingawa hii inashida moja kama printer haitumiki sana mara nyingi head zinakuwa zina shida ya kuziba) Kwahio in short mkuu utaona kwamba kununua printer inategemea na yafuatayo Budget yako: Inkjet ni bei rahisi kuliko laser ila running cost ni kubwa (ingawa ukiwa unarefill running cost inapungua, (kumbuka hata laser unaweza ukarefill pia) Matumizi: Laser ni heavy duty kuliko inkjet ila kama unaprint rangi ni bora uchukue inkjet ambayo ni cheaper running cost na quality ya picha ni nzuri
nashukuru sana kwa ushauri wako. mkuu mm ninacentre yangu ambayo ninatunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi kila weekend, so nahc kwa ck naweza nika print kama page kumi, je hii deskjet 2050 itafaa? maana nmeshindwa kununua kutokana na kutokuwa na ushauri wa kina.na uharikaji wake upoje? pia kama niki refill ni sh ngapi na ntatoa page ngapi?
 
Last edited by a moderator:
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
2,024
Likes
89
Points
0
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
2,024 89 0
nashukuru sana kwa ushauri wako. mkuu mm ninacentre yangu ambayo ninatunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi kila weekend, so nahc kwa ck naweza nika print kama page kumi, je hii deskjet 2050 itafaa? maana nmeshindwa kununua kutokana na kutokuwa na ushauri wa kina.na uharikaji wake upoje? pia kama niki refill ni sh ngapi na ntatoa page ngapi?
Nadhani kama unaprint pages kumi kwa siku nunua just a basic printer, (hata inkjet printer) tena nunua ya elfu 70 au 60;, ila kama pesa inaruhusu unaweza kununua laser sababu hii kwa wino wake catridge (unaweza ukaprint pages zaidi ya 3000, ila catridge yake inauzwa kama laki moja, na hii unaweza kurefill ukipata toner yake lakini mpaka ufungue catridge na inasumbua kidogo)

Ukinunua inkjet (tena hapa sishauli 3 in 1) sababu hapa huitaji copy wala scanner (unahitaji just a basic printer) sasa hizi inkjet zina catridge mbili ya rangi na nyeusi (sababu wewe utakuwa unatumia nyeusi sana kufanyia kazi nadhani hii inauzwa kwenye elfu 35, ambapo unaweza kutoa pages kama 100) sasa hapa ujanja kabla wino haujaisha kabisa kwa kutumia sindano unakuwa unajaza wino (unaweza kupata wino mweusi wa HP litre moja kwa elfu 50,000 au chini ya hapo) kwahio unachofanya unajaza na sindano kwenye hio catridge.. (hivyo basi kuliko kuspend pesa nyingi kwenye 3 in 1 deskjet, unless uipate chini ya elfu 70 nunua tu a cheap inkjet kwa elfu sabini)

kwahio kurefill unaweza ukawa unafanya mwenyewe kwa kutumia sindano huitaji kumpa mtu pesa kufanya refill (ukinunua lita moja hii inaweza ikakaa hata mwaka), na catridge moja unaweza kujaza zaidi ya mara 5Cha kufanya kama ni catridge nyeusi ukitoa ilo karatasi hapo juu utaona tundu, chukua syringe jaza wino kama 4mls alafu weka sindano kwenye tundu (usichome mpaka chini sana kuna pamba ukitoboa catridge itavuta ingiza sindano juu juu tu na ongeza wino pole pole mpaka utakapokuja juu).., usingoje mpaka wino uishe kabisa sababu kukishakuwa na hewa sometimes unaweza ukawa unapata gaps kwenye printing (baada ya kujaza funika karatasi na anza kuchapa kazi)

Kwa wino mweusi ingiza kwenye tundu lolote ukifungua karatasi kwenye coloured kuna matundu matatu (moja la nyekundu; yellow na blue) kwa maelezo zaidi angalia hii youtube

How to refill HP 60, HP 21 or HP 122 black ink cartridges - YouTube
 
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Messages
3,231
Likes
1,095
Points
280
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2011
3,231 1,095 280
thanx sun wu.
 
Last edited by a moderator:
T

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
439
Likes
14
Points
35
T

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
439 14 35
maumivu yakizidi, muone daktari.

tembelea ofisi za hp, canon na sumsung zote zipo posta jm mall, haidery plaza na raha tower hapo utapata printa za aina tofauti kwa bei tofauti na maelezo yote utapewa...
 
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Messages
321
Likes
6
Points
0
M

majogajo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2011
321 6 0
Nadhani kama unaprint pages kumi kwa siku nunua just a basic printer, (hata inkjet printer) tena nunua ya elfu 70 au 60;, ila kama pesa inaruhusu unaweza kununua laser sababu hii kwa wino wake catridge (unaweza ukaprint pages zaidi ya 3000, ila catridge yake inauzwa kama laki moja, na hii unaweza kurefill ukipata toner yake lakini mpaka ufungue catridge na inasumbua kidogo) Ukinunua inkjet (tena hapa sishauli 3 in 1) sababu hapa huitaji copy wala scanner (unahitaji just a basic printer) sasa hizi inkjet zina catridge mbili ya rangi na nyeusi (sababu wewe utakuwa unatumia nyeusi sana kufanyia kazi nadhani hii inauzwa kwenye elfu 35, ambapo unaweza kutoa pages kama 100) sasa hapa ujanja kabla wino haujaisha kabisa kwa kutumia sindano unakuwa unajaza wino (unaweza kupata wino mweusi wa HP litre moja kwa elfu 50,000 au chini ya hapo) kwahio unachofanya unajaza na sindano kwenye hio catridge.. (hivyo basi kuliko kuspend pesa nyingi kwenye 3 in 1 deskjet, unless uipate chini ya elfu 70 nunua tu a cheap inkjet kwa elfu sabini) kwahio kurefill unaweza ukawa unafanya mwenyewe kwa kutumia sindano huitaji kumpa mtu pesa kufanya refill (ukinunua lita moja hii inaweza ikakaa hata mwaka), na catridge moja unaweza kujaza zaidi ya mara 5
Cha kufanya kama ni catridge nyeusi ukitoa ilo karatasi hapo juu utaona tundu, chukua syringe jaza wino kama 4mls alafu weka sindano kwenye tundu (usichome mpaka chini sana kuna pamba ukitoboa catridge itavuta ingiza sindano juu juu tu na ongeza wino pole pole mpaka utakapokuja juu).., usingoje mpaka wino uishe kabisa sababu kukishakuwa na hewa sometimes unaweza ukawa unapata gaps kwenye printing (baada ya kujaza funika karatasi na anza kuchapa kazi) Kwa wino mweusi ingiza kwenye tundu lolote ukifungua karatasi kwenye coloured kuna matundu matatu (moja la nyekundu; yellow na blue) kwa maelezo zaidi angalia hii youtube How to refill HP 60, HP 21 or HP 122 black ink cartridges - YouTube
mkuu nimeshukuru sana kwa ushauri wako, nitazidi kukuomba msaada wako kwa hili.
 
K

kiruavunjo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Messages
154
Likes
2
Points
0
Age
30
K

kiruavunjo

Senior Member
Joined Mar 30, 2011
154 2 0
Wino mzuri bei nafuu lita moja tsh 15000 tembelea nairobi moi ave. Maduka ya computer kamera zipo bei sawa na pesa kuazia tsh190000/= sony digitals.
 
prakatatumba

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
1,337
Likes
14
Points
135
prakatatumba

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
1,337 14 135
Kwa sasa nipo mbali lakini kama ni issue ya bei nina uhakika kwa Dar ndio itakuwa cheap, sina uhakika na hii 1010 lakini sidhani kama itazidi laki moja na nusu au labda laki mbili.., hapa issue itakuja baadae ambapo catridge zake unaweza kuzipata kwa bei ya kawaida kama laki moja lakini unaweza ukapata kwa elfu 80, kwahio for future use itabidi ujaribu kurefill hizi catridge ili kusave cost

Kwa kazi za kawaida kuprint documents nadhani laser ni nzuri ila kama unataka kuprint colour inabidi upate inkjet kuhusu hii printer zaidi angalia hapa
HP LaserJet 1010 Overview & Specs - Laser Printers - CNET Reviews
Hivi hii hp laserjet 1010 inauwezo wa kuprint coloured?
 
wakusoma

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Messages
1,036
Likes
792
Points
280
wakusoma

wakusoma

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2008
1,036 792 280
1010 za zamani sana..zilikuwa black only..zikatoka 1018...1020..zote black
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,525,978