Kwa wanaohitaji viwanja vilivyopimwa, vipo Kigamboni

AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA

Eneo vilipo ni KIGAMBONI MWASONGA (mkamba) mbele ya DAR ES_SALAAM ZOO.

Bei zetu ni nafuu mno ni chini ya milioni 3.9. Viwanja vina ukubwa wa 20 kwa 30. Karibuni
NITAFUTE MAPEMA ili uishi mjini

wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39

=======================
UPDATES
Viwanja vipo kigamboni mwasongwa, Vimebaki vichache. Utaruhusiwa kulipa kwa awamu (INSTALLMENT) baada ya makubaliano
=========+
Kwa atakaye hitaji kwenda kuviona vilipo Viwanja tuwaailiane kupitia namba yangu hapo juu. Utauziwa na mmiliki mwenyewe hakuna dalali wala malipo ya mtu wa kati (vinauzwa na mmiliki mwenyewe
====================
Updates

Kipo kiwanja chenye ukubwa wa sqm 495 utauziwa kwa 2,970,000.
Nipigie simu ukipate kiwanja.
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA

Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.

square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini

wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Wadau kadhaa kutokea jamii forum nimefanya nao biashara hakika wamefurahia sana unafuu wa bei ukilinganishwa na eneo vilivyopo viwanja uzuri wake na ukubwa wa eneo. Kuna meter kidogo nje ya zilizopimwa zinajumuishwa ndani ya eneo utakalo uziwa. Ewe mdau wa jf wahi ujipatie kiwanja chako mapema.
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA

Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.

square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini

wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
OFA IMETOLEWA KUTOKA 1m² KWA TSHS 6,500 HADI TSHS 6200.
===============
wahi ndugu ujipatie kiwanja chako hiyo offer imetolewa kwa wateja wa jf, wahi mapema na ukiwa ni Miongoni mwa wateja watatu wa mwanzo baada ya tangazo hiki la offer, tutazungumza na bei itashuka zaidi. Na namna ya malipo tutakubaliana, zaidi tutamsikiliza mteja uwezo wake. KARIBU SANA
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,008
Likes
11,333
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,008 11,333 280
OFA IMETOLEWA KUTOKA 1m² 6,500 HADI 6,200.
===============
wahi ndugu ujipatie kiwanja chako hiyo offer imetolewa kwa wateja wa jf, wahi mapema na ukiwa ni Miongoni mwa wateja watatu wa mwanzo baada ya tangazo hiki la offer, tutazungumza na bei itashuka zaidi. Na namna ya malipo tutakubaliana, zaidi tutamsikiliza mteja uwezo wake. KARIBU SANA
Wakuu kwema??
Itakapofikia 4,000 mni-tagg please
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA

Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.

square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini

wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Watu wanazidi vinunua viwanja, mwana jf usipitwe, wahi ujipatie kiwanja kilichopimwa kabisa, nipigie simu mda huu tufanye biashara..... Nafasi ni yako sasa.
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
VIWANJA_VILIVYOPIMWA_VINAUZWA

Eneo vilipo ni KIGAMBONI Mkamba mbele kidogo ya DAR ES_SALAAM ZOO.

square meter 1 ni Tshs 6,500 pia tunaweza negotiate ukapata kwa bei ya chini zaidi. TUTAFUTE MAPEMA ili uishi mjini

wasiliana na mimi kupitia
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Nipende kuwashukuru members wote wa jf wanaonipigia simu wakihitaji viwanja na wengine wakiniulizia kama viwanja bado vipo,

jibu ni kwamba viwanja bado vipo jitahidi tu uwahi mapema ujipatie kiwanja chako kabla havija isha,

narudia tena viwanja ni bei nafuu sana wahi mapema upate kiwanja kilichopimwa.
 
marcs

marcs

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
970
Likes
493
Points
80
marcs

marcs

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2016
970 493 80
Hawa ndio madalali wasio takiwa na magu vinatoka viwanja wanawahi na kuvitwaa kisha kuviuza kwa bei mbaya kisha kuleta adha kwa wanaotaka mkuu nishakutia alama nachukuwa namba zako na kuzipeleka kwa wahusika ukamatwe na hatua Kali zichukuliwe dhidi yako na iwe mfano kwa wenye tabia kama yako
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
Hawa ndio madalali wasio takiwa na magu vinatoka viwanja wanawahi na kuvitwaa kisha kuviuza kwa bei mbaya kisha kuleta adha kwa wanaotaka mkuu nishakutia alama nachukuwa namba zako na kuzipeleka kwa wahusika ukamatwe na hatua Kali zichukuliwe dhidi yako na iwe mfano kwa wenye tabia kama yako
Mkuu mimi sio dalali, nikuhakikishie hivo na hivyo viwanja ninavyo viuza ni sehemu ndogo tu ya viwanja vyangu nilivyonavyo ndio maana nikimaliza kuviuza vile nilivyopanga niviuze kwa dharura nitatoa mrejesho hapa jf kuwa viwanja vimeisha. Na moja kati ya vitu nilivyovipanga kuviweka sawa ni hilo la udalali, kuwa mimi sio dalali na sikuwahi kuwa dalali. Hivyo nitakapo maliza kuviuza vile nilivyopanga kuviuza nitaleta mrejesho hapa.

Kuhusu madalali wanaoleta adha siwezi wazungumzia kwa sababu sikuwahi wafuatilia kwa ukaribu kazi zao na wala sijui ni kwa vipi huwa wakileta adha.

Binafsi nilileta tangazo langu huku jf kwa kuwa nipo humu miaka mingi iliyopita na ndio sehemu yangu ya kipekee ninayopenda kuperuz mda wote, pia nimesha pata bidhaa nyingi ninazo zihitaj kutoka kwenye matangazo yanayowekwa na wadau wengine humu, kwa hiyo hata mimi nikaona ni busara endapo nikiweka tangazo langu humu jf.

Viwanja vipo miaka mingi na wala sikuvichukua karibuni kwa lengo nije niviuze kwa bei kubwa kama usemavyo. Ndugu hiyo bei niliyoiweka hapo kama ni dalali siyo rahisi aku uzie hivo na hapo bado hatujaongea na kufanya biashara.

Usha nitia alama na utachukua namba zangu nishughulikiwe, nakushauri nipigie tufanye biashara mkuu na kama kwako vyuma vimekaza usiwakatishe tamaa wenye uhitaji. Siku hizi biashara ni matangazo na matangazo ni humu mitandaoni, lakin nikushauri kuwa usikariri kila anayetangaza kuuza viwanja au nyumba kuwa ni dalali, wapo na wengine ambao ni wamiliki halali wanaweza kutangaza vizuri.

Mkuu karibu sana nikuuzie kiwanja mimi siko kwa ajiri ya kuleta adha kwako. Zaidi nitakusaidia tu upate eneo kubwa na zuri kwa bei nafuu.

Bila shaka nime eleweka, karibuni kigamboni.
 
kALEnga kidamali

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Messages
389
Likes
394
Points
80
kALEnga kidamali

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2015
389 394 80

Sawa mkuu, tumekupata
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
Jaman wana jf, sasa nimebakiwa na Viwanja vitatu tu. Nitatoa ofa ya tshs 6ooo kwa m² badala ya 6200. Kwa hiyo kiwanja chenye ukubwa wa 2o kwa 3o utapata kwa tsh. 3.6 million. Karibuni kigamboni
 
dalalitz

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,620
Likes
689
Points
280
dalalitz

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,620 689 280
Hawa ndio madalali wasio takiwa na magu vinatoka viwanja wanawahi na kuvitwaa kisha kuviuza kwa bei mbaya kisha kuleta adha kwa wanaotaka mkuu nishakutia alama nachukuwa namba zako na kuzipeleka kwa wahusika ukamatwe na hatua Kali zichukuliwe dhidi yako na iwe mfano kwa wenye tabia kama yako
Wachawi sikuhizi hamna haya
Mchana kweupee mnajiachia
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
Nitoe shukrani zangu za dhati kwa jf, nimepata wateja kupitia jf, na kwa sehemu kubwa nimewauzia Viwanja kwa bei ndogo sana, kwa sasa nimebakiwa na viwanja vichache... Kwa anaye hitaji tuwasiliane haraka kabla havija isha. Eneo ni zuri mno nje ya eneo lilipimwa kuna eneo dogo litakuwa sehemu ya ulilouziwa (free).
 
AccproTz

AccproTz

Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
27
Likes
16
Points
5
AccproTz

AccproTz

Member
Joined Nov 5, 2017
27 16 5
Umeme upo karibu pia ni maeneo yenye makazi yanayoanza kukua.... Karibuni sana kigamboni,
 
Forum statistics

Threads 1,250,460
Members 481,354
Posts 29,734,116