Soko la nguruwe Morogoro

Soko la nguruwe Morogoro

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,151
Reaction score
809
Jamani kwa anayefahamu naomba anifahamishe mahali lilipo soko la nguruwe Morogoro. Nataka nisukume Madume yangu matano. Natanguliza shukrani.
 
wacliana name huyu MTU anaitwa john mlay 0715573328 yeye ana bar ya Kitimoto Moro apo
 
Mkuu naona usimame mwenyewe nenda kwenye mahotel makubwa utafute oda. Morogoro hotel, pia Oasis ni wa Hindul wale hawapiki nyama ya ng'ombe. Ukizunguka huwezi kurudi mikono mitupu.
 
Mkuu naona usimame mwenyewe nenda kwenye mahotel makubwa utafute oda. Morogoro hotel, pia Oasis ni wa Hindul wale hawapiki nyama ya ng'ombe. Ukizunguka huwezi kurudi mikono mitupu.
Wako wapi hapa Morogoro? Pia kuna kuku Kama 20 hivi nataka niwatoe.
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Back
Top Bottom