Natafuta Gari ya Kukodi

Natafuta Gari ya Kukodi

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Natafuta gari ya kukodi kwa matumizi binafsi ndani ya mji wa Dar kwa muda wa mwezi mmoja.
Gari inayohitajika isiwe zaidi ya cc 2000.

Ikiwa mmiliki atapenda gari itafungwa car track ili aweze ku-monitor gari yake.

Malipo ni makubaliano, mwenye nayo karibu PM tukubaliane.

Au tuma email richsamtz@yahoo.com
 
What's your offer??
Mkuu sina spefic offer. Kama una gari na ungependa kuikodisha ww niambie gharama yako ni kiasi gani na ni gari gani. Mengine yote yanajadilik. Njoo PM
 
Unategemea kitumia ndani ya dar ktk rough roads au ktk ya mji mana dar kuna sehemu mbaya kuliko hata mikoani.?
 
Natafuta gari ya kukodi kwa matumizi binafsi ndani ya mji wa Dar kwa muda wa mwezi mmoja.
Gari inayohitajika isiwe zaidi ya cc 2000.

Ikiwa mmiliki atapenda gari itafungwa car track ili aweze ku-monitor gari yake.

Malipo ni makubaliano, mwenye nayo karibu PM tukubaliane.

Au tuma email richsamtz@yahoo.com
mkuu unataka na dereva ili nikupe gari si unajua imani kitu cha ajabu sana wengi humu wanamagari ili uoga kama mimi
 
Mkuu sina spefic offer. Kama una gari na ungependa kuikodisha ww niambie gharama yako ni kiasi gani na ni gari gani. Mengine yote yanajadilik. Njoo PM

Nina Mark X hiyo itakusumbua kwenye wese,ila ni very comfortable ride
 
Kama unaweza kukodi gari mwezi mmoja, mkuu si bora ununue tu! Maana kwa gharama za malipo na mafuta inaweza fika hata 5m, ambayo ukiongeza hela kidogo unapata gari nzuri!
Otherwise labda iwe unataka kukodi gari ya gharama kubwa...
 
Kuna kampuni za kutosha zinakodisha jaribu kucheki nao...mtu binafsi uoga mwingi hata kama tracking information zinakuwepo,...nilikataa wiki mbili zilizopita kubeba abiria pale Chalinze sababu Tu ni wahabeshi, japokuwa nilikuwa nahitaji 'vichwa' kwenda Mbeya...uoga ni akili...cheki na car rental companies.
 
Sawa
 
Loh hatari sn hii
 
Back
Top Bottom