Habari, Mimi ni mkazi wa dar es salaam, najihusisha na biashara ya parachichi na matunda mengine kutoka mkoani jumla na reja reja, naleta kwa order, naomba msaada zaidi kwa soko la parachichi na mastaferi. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.