Habari zenu wanajamvi!
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na upendo juu yetu.
Natafuta risiva ya freesat v7, combo au max , nimejaribu kupita kwenye blog mbali mbali nimeona bei yake...
OFA YA BANDO BEI YA KUTUPA #0627419653
Pata sasa GB30,Dakika 500 na sms unlimited mtandao wa Tigo,Voda na Airtel ndani ya siku 90,Kwa Gharama ya Tsh 20000
Kuunganishwa Nicheki hapa 0627419653
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Naitwa Tausi Hamidu Makeo, Wa Idara Ya Elimu Ya Msingi mkoani Lindi, Ruangwa..
Natafuta Mwalimu Wa Kubadilishana Naye Kituo Cha Kazi toka Mkoa Wa Dodoma au Morogoro, wilaya ya Gairo, Bahi...
Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932 or 0742036732 au unaweza kunichek instragram follow me...
Certified Information Systems Audit (CISA) Mock Test is scheduled to be conducted on 21/04/2018 at DSM City Center. This Mock test covers all the domains and is based on the guidelines provided...
Wandugu
Nauza Kiwanja changu kwa bei nafuu sana. Kiwanja kipo Bunju A Mtaa wa Senzele yaani ukishuka kituo cha Bunju A Shule unatumia dakika 8 kwa bodaboda kufika eneo kiwanja kilipo. Kina ukubwa...
Husika na kichwa cha habari
Natafuta NYUMBA ya vyumba viwili, sebule ,choo na jiko
Au chumba sebule ,choo na jiko
Haraka sana ,inahitajika maeneo ya ubungo
Mwenye nayo ani PM ,tufanye biashara
JE WAJUA VIZURI KUHUSU SUPER GRO???
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
-Super gro yaweza kukuongezea mazao mara tatu zaidi ya matarajio?
- Super gro...
Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni...