Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

saa nzurii za kikeee 15,000 zinapatikanaa kwa anae hitaji nichekii 0719979400 tupo Dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar za saizi members hii ni Ofa kabambe kwa wenye biashara zao yaani tsh 3000 tu kwa tangazo Moja ambapo naweka matangazo kwenye account yangu ya Facebook ijulikanayo Daud Augustine hii akaunt...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Gari haina miez mitatu toka iagizwe 0672243892 Bei mil 16 Your we'll come call me any time
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu anakutumia sms ya uganga na unapiga inapatikana hiyo namba imesajiliwa kabisa na anapokea vyombo husika mna kazi gani sasa iwapo watu wanalalamika humu na wamiliki wa namba izo za utapeli...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza silver grams 52 bei 180000/=nicheki kupitia 0715407585
0 Reactions
4 Replies
864 Views
Habari ndugu msomaji. Hii ni habari njema kwako kama unahitaji kujifunza upigaji picha kitaalamu zaidi au unataka kujiendeleza katika fani ya upigaji picha. Tunakuletea KOZI fupi ya mwezi mmoja...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habarini Wadau, Najua hivi viatu vipo madukani ila sikuhizi vingi sana ni fake...kuna mgeni wangu nipo naye anaviulizia sana hasa Black & Brown Kuna yeyote anaweza kunisaidia namna ya kuvipata...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu, Luna hii mifuko maarufu kama sulphates, inatumika kuhifadhia mazao, ninatafuta ama kiwanda au muuzaji was jumla, nahitaji zaidi ya PCs 1000 Kwa anayefahamu pls naomba...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa anaye uza kingamuzi cha azam used tutafutane nipo Arusha town 0759547047
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Wakuu wapi wanauza mifuko ya jumla ya rambo??? Au kama kuna mtu anamjua supplier wa jumla anijuze.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunauza Kiwanja Salasala Marobo. - Direction: Kutoka Salasala Mwisho wa rami hadi kwenye Kiwanja ni Kilomita 2. - Ukubwa wa uwanja ni 400sqm. - Una leseni ya Serikali ya Mtaa - Umeme Upo - Bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa wale trader wanaotaka kutrade na FXTM soon watakuwa na seminar buree kabisaa akuna mambo ya fees hapa jiunge ufungue account kwa maelezo lini na saa ngapi Online Forex Trading Broker |...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nilitangaza kuuza pikipiki yangu,,asanten kwa wote mlionishaur naambatanisha na picha,,pikipiki ipo posta karibu na ofisi za bot!! Document zote ninazo,,ina bima lakin third part inaisha mwez...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbinu mbalimbali za kupamba keki kwa njia rahisi, kwa vifaa vya kawaida kabisa unavotumia nyumbani kwako. utapata ubunifu zaidi. kwa 2000/= tu (nafundisha ndani ya wiki mbili). Online course kwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
√ Viwanja Vimepimwa Vina Offer. √ Vina Ukubwa Mbalimbali. Direction: 3Km Kutoka Goba njia nne. Bei : Tsh 25,000/1SquareMeter [emoji767] 0685917621
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kunavojieleza. Naitaji msaada wa taarifa kuhusu soko la kuku au wanunuaji wa jumra jijini dar es salaam. Kuku ni wakienyeji toka singida, bei maelewano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kowak Girls' High School, shule bora kabisa kwa sasa kanda ya ziwa. Karo yao ni nafuu, in shilingi milioni mbili kwa mwaka na inalipwa kwa awamu nne. Godoro na kitanda, na chakula vinapatikana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei 3.2ML inadocument zote sijaikatia insurance.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani nahitaji yoyote mwenye gali ndogo kama ist, , Ractis na anaitaji aingize pesa kupitia UBER tuingie mkataba kwa wiki nimletee hesabu ya 200,000 kwa wiki tuandikishane gali iwe kwenye hali...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Natumaini mu-wazima wakuu, kama mada inavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua nyumba kwa ajili ya kufanya biashara ya kupangisha.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…