Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ENEO LINAUZWA LIPO KIMALA NG'OMBE BAGAMOYO KM 4 KUTOKA BAHARINI, LINA UKUBWA MITA 22887 ZIMEPIMWA. MAJENGO 2, VYUMBA VIWILI VYA MADARASA, OFISI NA NYUMBA YA KULALA SEBULE NA JIKO. MITI YA MATUNDA...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Gari ipo DSM Vibali vyote vipo kamili njoo na fundi wako ukague Nicheki PM
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jipatie mbegu bora ya papai aina ya Calina California Papaya yenye kuzaa papai had 140 kwa mwaka, papai zake ni taaam sanaa na kubwa zenye ganda gumu linaweza kustahimili kukaa had siku 14 baada...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari...Nauza ng'ombe wa maziwa kwa bei ya 1.6 million...ila maongezi yapo. Kwa uhitaji 0653201062.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mwenye hiyo ngano hapo juu nahitaji ya ku-prout fodder kwa ajili malisho ya mifugo anijulishe na bei anayouza kwa kilo moja, niko Moshi . Tel no 0714-600802
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nilivyoeleza hapo huu,nimekutana na wakala hii kampuni na amenieleza mambo mengi kama ya ujasiriamali n.k.Sasa kidogo nimekuwa na hofu ktk gharama ninazopaswa kulipwa na Pia na uhakika wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini wapendwa ninauza maharage roz koko pia napokea tenda mashuleni
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bei chee magari ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari ya kuanzia MIL 3 kuendelea yenye hali nzuri Epuka kalaa za mwendokasi na daladala kama kukanyagana,kunusa vikwapa, wanawake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nina shida sana na mashine used ya kuoshea magari (pressure washer), naomba mnipe location ya maduka hayo. Kama unayo pia haitumii nitashukuru tukiongea wakuu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa anaetaka sanyo home theatre bila ya speaker wala subwoofer nauza
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Toyota Wish Year: 2004 Engine: VVTI Cc: 1790 Mileage: 87230 Contact: 0717760515 Price: Mil 10.5
0 Reactions
4 Replies
3K Views
*OPTIMAL FIRMING LOTION* Page 61 code 31314 [emoji830]Hii ni seti nyingine ya optimals body ambayo hutumika kwa ajili ya ku tight mahali ambapo kuna nyama za uzembe./nyama zilizotepeta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu Habari zenu... nauza la shamba kwa ajili ya kilimo.... shamba lipo vikindu eneo ni zuri lipo karibu na mto...waweza Fanya kilimo cha umwagiliaji.. ukubwa heka moja.. bei ni milion kumi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakui vipi tena. Kuna wallet zinauzwa. Sealed. Slim. Sorry zipo sealed so sijapiga picha zake. Ila I guarantee zipo kama unavyoziona. Bei ni 20,000 tu. 0758095750
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau msaada haya matunda ya almonds hapa bongo inapatikana sehemu gani.je mti wake unastawi kama nikiamua kuupanda na unachukua mda gani mpaka unakua na kutoa matunda.wapi ntapata mche wake?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kama unahitaji kiwanja Arusha au shamba bei kuanzia mil tatu Tafadhali naomba uni WhatsApp kwa 0716063699 nitajie eneo ukubwa unaohitaji nami nitakupa bei kulingana na eneo husika bei zetu ni...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Karibuni wadau, Broilers wa wiki 4 wana uzito poa kabisa wanapatikana kwa Tsh 5500 kila mmoja. Tupo Dsm Temeke, tuwasiliane kupitia 0686312659 au 0777774020 (Whatsapp). #Ufugaji #Kilimo
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SIZE INCH "18", BEI 60,000 KILA KIMOJA. MAWASILIANO 0679413886 NIPO KIGAMBONI,DAR ES SALAAM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za kutwa wakuu. Nipo katika utafiti.Nahitaji kufanya Biashara ya mifuko ya khakhi. Tatizo langu ni kwamba, je ni wapi nitapata hiyo malighafi kwa hapa Dar? Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi jana usiku nilikuwa natoka gongo la mboto kwenda mbagala nilipanda UDA nikashuka saba saba karibu na Kipati,baada ya kushuka na kuvuka barabara kama dakika kumi baadae nikagundua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…