Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mm ni PHOTOGRAPHER and EDITOR Kaz zangu hizi hapa wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ipo Mwananyamala Komakoma Pembeni Ya Kanisa Anglican,lami mpaka mlangoni,kuna parking geti,maji vyumba viwili vya kulala sebule kubwa,jiko choo cha ndani
2 Reactions
6 Replies
968 Views
Nahitaji msichana wa kazi za ndani kutokea kijijini asiwe ambaye ameshakaa mjini umri uwe miaka 22-30 atafanya kazi za ndani kwa uaminifu, mshahara sh 70,000 asiwe mfupi maana wana hasira sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama kwa mahitaji ya vyumba apartment fremu za biashara viwanja nyumba zinazouzwa maeneo mwenge hadi tegeta ubungo to mbezi sinza makumbusho mikocheni tuwasilia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Helloo Inauzwa laptop yenye sifa hizi 1. Aina: ASUS nyembamba 2. Rangi: Nyeupe 3. Processor: Intel (R); Core(TM) i3-31100 CPU@2.40GHz 4. RAM: 6.00GB 5. HDD: 500GB 6. Window 8 7. Operating system...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
viwanja vipo maeneo ya tambarare maeneo ya nzuguni A mbele ya kwa masister..viwanja vina hati ya kijiji..umeme na maji vya kuvuta..viwanja vina ukubwa tofauti tofati.. 1.kina ukubwa wa 40*70 bei...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Uwezo na kujitambua
0 Reactions
2 Replies
567 Views
Habiri zenu wadau poleni na majukumu ya kimaisha mimi nahitaji msaada kwa mtu anayefahamu au mkazi wa maeneo husika ya kuwa vyumba vya biashara Maeneo ya morogoro road gharama ya yaweza kua kiasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za Mida Ndugu Zangu.. Nna mtaji kidogo nataka kufanya biashara ya mitumba .nlikua naomba msaada kwa Yoyote anaejua Mahali nnapoweza kupata mabalo na bei za mitumba kulingana na grade zake
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Dovillen Property ..Tunauza nyumba Dodoma Dovillen Property ..Tunauza nyumba Dodoma
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Ninaziuza Till za tigopesa,halopesa na Airtel money. 1. Tigopesa = 100,000/= 2. Airtelmoney =60,000/= 3. Halopesa = 50,000/= Serious buyer please wasiliana nami PM nikupe namba kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Nataka kununua Trekta either kwa kuagiza Nje, au kununulia hapa hapa bongo, kuna mwenye kujua taratibu za importation? Ni kweli Niki-import hakuna kodi bandarini (exempted) ?? Ni kodi...
1 Reactions
40 Replies
13K Views
Nina heka mbili kila heka nataka m 15 tu/_ Ni omboza mitaa ya majumba sita Nataka serious customers My no 0672243892
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei ni 270k
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Desktop internal Hdd_Sata mbovu zinatafutwa, Nipo dar Natafuta pcs 10 Size/Ukubwa kuanzia 1TB. Njoo pm
1 Reactions
11 Replies
978 Views
Nahitaji computer desktop complete. Angalau yenye kuanzia specification hizi Ram: 2+ Gb Duo core+ Hard disc: 500+ GB Pia hata ikipatikana CPU peke yake yenye hizo specification, sio mbaya...
1 Reactions
2 Replies
609 Views
Wazima.! Nauza kiwanja kipo Tabata kinyerezi njia ya lami kwenda mbezi kipo mita 180 kutoka barabarani 20×25 bei yake milioni 12 Mawasiliano
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari, Husika na kichwa hapo juu,nauza laptop aina ya Dell latitide D630,ipo kwenye hali nzuri kabisa,tatizo ni kwamba nimeshaitumia tu basi,ila kiufundi hakuna kabisa,ruksa kuikagua hadi...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Habar wana jamv mm nihitaji kuanza biashara ya kuuza sigara kwa JUMLA na rejareja sasa naomba mnifahamishe anayejua hizo bidhaa za sigara kwa JUMLA huwa zinapatikana wapi kwa dar na utaratibu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Pikipiki used inahitajika,nna bajeti ya 1 milion
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…