Kwanini Usiende kujenga Kwa Bibi yako ambako Ardhi ni bure?mmh! milion 12 kiwanja cha 20x25 halafu hakijapimwa! Not fair jamani mnatutisha sie ambao hatujajenga.
Hayo ni majibu gani aiseeKwanini Usiende kujenga Kwa Bibi yako ambako Ardhi ni bure?
ni pm nutumie namba zako za simu nitakuja kukionaNjoo nikuuzie kiwanja mbezi msumi bei sawa na bure kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 23 .... 5 milioni
Kwa mawasiliano contact 0658183618Kipo Kinyerezi bei milioni 10View attachment 763278
Hicho kiwanja kwa wakt huu ukipata millioni nane chukua haraka, nakuambia hivyo maana biashara ya viwanja naijuaKwanini Usiende kujenga Kwa Bibi yako ambako Ardhi ni bure?
Millioni 25 sawa inategemea na eneo.mbezi beach huwezi fananisha na mbagalaMkuu kiwanja ambacho kishapimwa 20×25 bei yake imeshuka sana ni milioni 25