Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

S
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Kwa yeyote mwenye kabati la Alluminium lenye urefu usiopungua futi 3 nalihitaji kwa matumizi ya duka la vipodozi.. Anayekaa maeneo karibu na Kibaha atapewa kipaumbele ili kuokoa gharama za usafiri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajumuiya wa jf Nina vitabu kumi tu nahitaji kuprint kwa mji wa dar es salaam eneo gani niweze kupata msaada huo nipo morogoro jumatatu nitakuwa dar es salaam tafadhali mje hapa
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa ft 100 kwa 90 kinauzwa eneo la chakenge mtaa wa yange yange,kivule,kitunda,kipo karibu na inapojengwa hospitali ya wilaya ya ilala,kinafikika kiurahisi,kina njia ya mtaa...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji nyumba simple ya kupanga iwe na chumba kimoja na sebule, self contained (yaani choo na bafu kwa ndani). Isiwe mbali sana na city center na iwe mpya kidogo. Kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mlioko site hapo kuna mhitaji kataka nimsaidie kufikia hadhima yake hii. Anaomba kujua walioko hapo mjini Bukoba chumba cha kuishi cha standard kwa mwezi ni bei gani na mitaa ipi ya kuishi...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
Nauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
wakuu nauza nokia asha 302 imetumika miezi mitatu tu! kwaiyo bado ipo ktk halinzuri sana pia haina tatzo lolote. sifa za simu ina #whatsap #Internet 3G camera na mengineyo mengi bei ni sh 75000...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina Laptop yang ya HP PROBOOK 450 G2 i5, ilipiga shot motherboard, kwaio inatakiwa replacement ya motherboard, Kwa aliyenayo au akanisaidia shm naweza pata. Pesa ipo mda wwt ukinihakikishia km n...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Unaweza katia alluminium au mbao naiuza tsh 350,000/. Inaafanya kazi Vizuri tu Kwa anayehitaji anipigie simu 0715591141 dar Ova
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa salama? Natamani kujenga na kuishi Kigamboni kwa siku za baadae, nilkuwa nauliza naweza kupata kiwanja Kigamboni kwa around 2.5m to 3m? Na utaratibu wake ukoje? Nilisikia kuna viwanja...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
T 321 aje Colour white No any mechanical default Japanese nissan Price 10 mill Call 0622 027490 Photos below
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau tiles bora na bei nafuu zinapatikana wapi Dar?
0 Reactions
20 Replies
27K Views
Wapendwa wateja tunauza mifuko ya brown na tunayo kuanzia kg1 kg2 kg2 nanusu. Bundle moja kg1 inakaa 115 bundle kg2 inakaa 90 na bundle ya 2 nanusu inakaa 75. Kwa cartoon kg1 inakaa kg 16 kwa kilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are doing COMPUTER UPGRADE, REPAIR AND ALL SOFTWARE INSTALLATION (MAC OS & WINDOWS) Installing Operating Systems Windows XP, Windows 7, Windows 8, Windows 8.1 and Windows 10(Pro, Home...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko Mwanza Bajeti yangu ni 1.5
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Hi nauza simu aina ya Samsung Galaxy S7 edge kwabei poa. Simu hiyo niyamkononi, yani used rangi ninyeuzi mfiniko wagold, kwamaelezo zaidi ntafute kwenye WhatsApp number +255763403330
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Bei 6.8m Ipo dsm mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0659299667
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama tittle ya thread apo juu wakuu naitaji simu used kati ya samsung galaxy s6edge na s6edge+ au samsung galaxy s7 au s7edge.aliyenayo anichek 0655073009
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Samsung Galaxy J1 mini 155,000 J1ace rangi black na Gold 195,000 J2 black and Gold Tsh 300,000. J3 balck and gold Tsh 355,000. J5 black n gold Tsh 375000. J7 black n gold Tsh 489,000...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…