Car4Sale Lete milioni 6.8 nikuuzie gari IST ipo kwenye hali nzuri

MoneyMakerTz

Member
May 22, 2018
32
12
Bei 6.8m Ipo dsm mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0659299667
 

Attachments

  • IMG-20180521-WA0008.jpg
    IMG-20180521-WA0008.jpg
    69.1 KB · Views: 79
  • IMG-20180521-WA0011.jpg
    IMG-20180521-WA0011.jpg
    83.5 KB · Views: 84
  • IMG-20180521-WA0004.jpg
    IMG-20180521-WA0004.jpg
    93.4 KB · Views: 81
  • IMG-20180521-WA0010.jpg
    IMG-20180521-WA0010.jpg
    98.5 KB · Views: 67
  • IMG-20180521-WA0009.jpg
    IMG-20180521-WA0009.jpg
    96.6 KB · Views: 70
  • IMG-20180521-WA0005.jpg
    IMG-20180521-WA0005.jpg
    59.6 KB · Views: 66
  • IMG-20180521-WA0006.jpg
    IMG-20180521-WA0006.jpg
    80 KB · Views: 65
  • IMG-20180521-WA0007.jpg
    IMG-20180521-WA0007.jpg
    81.2 KB · Views: 60
Hivi hiyo odometer huko mbali inasomeka kweli ukiwa unaendesha?

Mi hapo naona itanisababishia matatzo tu ngoja nikomae na hii bajaj yangu
 
gari nzuri.. tukiacha wale wanaopenda namba mpya.. na kama haijapakwa rangi naiona iko poa sana

hii body na rangi ndio iliyokuja na gari au umepaka mpya kuvutia wateja?
Haijapigwa rangi hiyo gari ni rangi yake ambayo imekuja nayo.
 
Mungu akijalia biashara inafanyika kwa hii gari leo mchana nashukuru kwa ushirikiano wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom