reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,799
- 21,711
Nina Laptop yang ya HP PROBOOK 450 G2 i5, ilipiga shot motherboard, kwaio inatakiwa replacement ya motherboard, Kwa aliyenayo au akanisaidia shm naweza pata. Pesa ipo mda wwt ukinihakikishia km n nzima, sitak itengenezwe mana najua utengenezaji wa motherboard n inshu, itakaa mwez half itaanza kuzngua, Nataka nyingne Ambyo haijapigwa maspana, zingatia specs LAZMA iwe i5, mana ikiwa na processor tofaut italeta tatzo la heating/cooling effect, kwa wataalm mnajua, PESA IPO ,HATA YA DALALI,